Leo nataka tufahamiane wakuu...! sababu wote ni ndugu:

Leo nataka tufahamiane wakuu...! sababu wote ni ndugu:

Naitwa,mutombo lufungula
nipo. Kimanzichana,wilaya ya mkuranga,mkoa pwani
kazi.muokota chupa za maji na kuuza
miaka 35
sijaoa.
Nina 3,watoto.
 
Ha ha[emoji115] [emoji115] Ndio jina langu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
mafoleni tufanye hivi anza wewe kwa kutuambia jina lako halisi tena yote matatu,tuambie unaishi wapi na namba ya nyumba pia usisahau na mwisho tuma picha yako kabisa ili tukikutafuta iwe rahisi
 
Naitwa Roma Msabato.
Nipo Zimbabwe.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom