Leo nataka tufahamiane wakuu...! sababu wote ni ndugu:

Leo nataka tufahamiane wakuu...! sababu wote ni ndugu:

Yaan huu mtandao ni watu wa kupenda siri kama Freemasons vile, jina fake, picha fake hata nikiuliza makazi lazima nitapewa fake tu! mna siri gan nyinyi?
*HAYA LEO NAOMBA KUWAJUA WA MKOA WA PWANI* KIBAHA NA WILAYA ZA JIRANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naitwa NGENGEMKENI MJUKUU WA MITOMINGI kwetu kilwa.
 
Jeuri Phombe Mataputapu (JPM), nipo maigogyoni!
 
Niko mkoa wa Sana huku asubuhi [emoji2][emoji2]

Don't put all egg on one Basket
 
Back
Top Bottom