Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Ama vile mtu anachezea chuchu kama anazungusha kile kidude cha kuongeza na kupunguza sauti ya radio dadeq!Wanatupa kazi inabidi ujifanye unamahaba kwamba unatekenyeka ili umuhamishe πππππ
Au mtu anachezea chuchu kama anabadilisha channel yeuwiii πππππ
Mi huwa nasema kwa kweli,maumivu ya chuchu kung'atwa sio poa