Leo natamani Watu fulani Wafungwe au Wasare ili nije na 'Exclusive' yao na 'Wavurugike' zaidi kwa 'Kukasirika' vibaya

Sema kati ya hivyo vitu 4 kipi sio kweli? Twende kwa hoja sio vioja
Ushabiki tu lakini hakuna hoja yoyote. Wakati wa COVID-19, Ligi ya Botswana ilisimama March 2020 kwa msimu wa 2019/2020. Msimu wa 2020/2021 hakukuwa na ligi kabisa lakini Federation ya Botswana ikaichagua Galaxy Gwaneng kuwakilisha CAF Champions. Tukaja kukutana na Galax April 2021 yaani zaidi ya mwaka mmoja tangu ligi yao isimame. Je, kuna haja ya kukumbushana nini kilitukuta pale Lupaso?

Hoja kwamba wachezaji wao wameondoka haina msingi kwa sababu Sudan ni moja ya mataifa yaliyopiga hatua kisoka kwahiyo hata Wachezaji wa Ndani na wenyewe wapo vizuri. Na kwavile ligi yao ilisimama Mwezi April 2023 kabla ya usajili wa 2023/2024, ulipofika msimu wa usajili walishajianda ku-capitalize wachezaji wa ndani. Na El Merrikh ni kama Simba au Uto ya Sudan, kwahiyo Wachezaji wengi wa ndani wanatamani kuchezea hiyo Klabu ukiondoa wale wenye mahaba ya kuzaliwa na kujikuta wanaipenda Al Hilal
 
Wadau msiache kumkoroga popoma kwenye huu uzi hadi apanic ale ban,
Jamaa jinga sana wewe,akili kisoda
kumbe akiwa banned wengine kwenu ni ahueni na labda mishahara inapandishwa na msisha yenu yanaenda?
 
kumbe akiwa banned wengine kwenu ni ahueni na labda mishahara inapandishwa na msisha yenu yanaenda?
Meseji ilikua ya popoma,wewe ghafla umerukia,.huwa unaumia sana akipigwa ban?next time sio ban tu,atapigwa goli mbili(viwili) kama alivyopigwa jana,.swali la kizushi,genta hawara yako?
 
Our very own JF pumpkin katika kiwango chake Bora kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…