Leo natamani Watu fulani Wafungwe au Wasare ili nije na 'Exclusive' yao na 'Wavurugike' zaidi kwa 'Kukasirika' vibaya

Leo natamani Watu fulani Wafungwe au Wasare ili nije na 'Exclusive' yao na 'Wavurugike' zaidi kwa 'Kukasirika' vibaya

Sema kati ya hivyo vitu 4 kipi sio kweli? Twende kwa hoja sio vioja
Ushabiki tu lakini hakuna hoja yoyote. Wakati wa COVID-19, Ligi ya Botswana ilisimama March 2020 kwa msimu wa 2019/2020. Msimu wa 2020/2021 hakukuwa na ligi kabisa lakini Federation ya Botswana ikaichagua Galaxy Gwaneng kuwakilisha CAF Champions. Tukaja kukutana na Galax April 2021 yaani zaidi ya mwaka mmoja tangu ligi yao isimame. Je, kuna haja ya kukumbushana nini kilitukuta pale Lupaso?

Hoja kwamba wachezaji wao wameondoka haina msingi kwa sababu Sudan ni moja ya mataifa yaliyopiga hatua kisoka kwahiyo hata Wachezaji wa Ndani na wenyewe wapo vizuri. Na kwavile ligi yao ilisimama Mwezi April 2023 kabla ya usajili wa 2023/2024, ulipofika msimu wa usajili walishajianda ku-capitalize wachezaji wa ndani. Na El Merrikh ni kama Simba au Uto ya Sudan, kwahiyo Wachezaji wengi wa ndani wanatamani kuchezea hiyo Klabu ukiondoa wale wenye mahaba ya kuzaliwa na kujikuta wanaipenda Al Hilal
 
Wadau msiache kumkoroga popoma kwenye huu uzi hadi apanic ale ban,
Jamaa jinga sana wewe,akili kisoda
kumbe akiwa banned wengine kwenu ni ahueni na labda mishahara inapandishwa na msisha yenu yanaenda?
 
kumbe akiwa banned wengine kwenu ni ahueni na labda mishahara inapandishwa na msisha yenu yanaenda?
Meseji ilikua ya popoma,wewe ghafla umerukia,.huwa unaumia sana akipigwa ban?next time sio ban tu,atapigwa goli mbili(viwili) kama alivyopigwa jana,.swali la kizushi,genta hawara yako?
 
Ewe Mola kama tayari tumeshawapa Waarabu Bandari yetu basi kwa Upendo wako huo huo GENTAMYCINE nakuomba Uwabariki pia na Waarabu wengine ili leo nao Waweze Kumiliki Jangwa la Mtoni kupitia Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. AMINA......!!

Pona pona yenu leo labda Mshinde, ila mkifungwa au kutoka Sare / Suluhu nakuja na Bonge Moja la Exclusive na najua mtachukia zaidi na Mgogoro mkubwa utaibuka huko Kwenu huku mkitafutana Uchawi.

Na Exclusive hii ninayo Mimi tu Oky?

ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
Our very own JF pumpkin katika kiwango chake Bora kabisa
 
Back
Top Bottom