Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mzee iliwezekana vipi kwa barcelona iliyoshinda goli tatu nyumbani kufungwa goli nne bila na liverpool?
Unamtenganishaje kocha na lawama kwenye matokeo mabovu?, hata kipigo cha juzi pale old trafford lawama nyingi zimeenda kwa kocha, kocha hata kama ameshinda mechi nyingi ila kushindwa kushinda mechi rahisi na muhimu kunaondoa maana yote ya hizo statistics
Pengine hizo statistics ndiyo sababu pekee iliyomfukuzisha, watu wameangalia mechi alizo shinda zilikua ngumu kuliko hiyo ya juzi
huwenda kwenye hizo mechi alizoshinda alikua serious ila saizi kafanya uzembe