Huyo kalegeza macho!? We huoni jamaako kama kapokea jotojoto la wazungu ndani ya mtaro [emoji533]
Mpira wa Tanzania ndio upuuzi wake huu. Kocha anakuwa hana final say hata kwa kikosi kinachoanza mechi sasa ni ujinga gani huo?Gomez ameonewa na hamtapata coach bora kama gomez nakuambieni pale simba mmeweka siasa ila uyu jamaa anajua shida anapangiwa na wazee wanaojifanya kuijua simba ila mtahjuta
Ndio Gomes ni Ole. Kwa mfano Bocco tangu msimu unaanza ana struggle hayupo kwenye form bado anang'ang'ania kumuanzisha ikiwa ana Kagere bench!Mkuu Da Rosa ni kocha mzuri. Ni mambo madogo madogo tu yakurekebisha.
Unataka kuniambia kwa uliyoandika hapo Da Rosa ni kama Ole Gunnar?
Ndio michezo yenu huko utopoloniHuyo kalegeza macho!? We huoni jamaako kama kapokea jotojoto la wazungu ndani ya mtaro [emoji533]
Kwahiyo mkuu na wewe umekubaliana kabisa na hili la Da Rosa kutupiwa virago?Mbona kwa uchebe mliandika haya haya tu bdae akaja Sven Mlikaaa kimya
Kila zama na kitabu chake
Uwezo anao sana ila amefika ukomo kwenye ufundishajiKwahiyo mkuu na wewe umekubaliana kabisa na hili la Da Rosa kutupiwa virago?
Kwamba Da Rosa hana uwezo wa kuinoa Simba?
Ndio hiki kitu ambacho nimekiita uzembe. Mambo mengine yapo wazi kabisa. Lazima kocha ajue mbinu za kucheza mechi za knockout hizo za home and away.Ndio Gomes ni Ole. Kwa mfano Bocco tangu msimu unaanza ana struggle hayupo kwenye form bado anang'ang'ania kumuanzisha ikiwa ana Kagere bench!
Tunaelewa game ya ugenini(Jwaneng) kipaumbele ilikuwa ni kuzuia cha ajabu na cha kushangaza kaanza na line up ile ile game ya nyumbani!
Mimi nilianza kukosa imani na Gomes ile game ya kaizer ugenini, kila mtu anayefuatilia PSL anajuwa Kaizer silaha yao ni mipira mirefu(sijui kama aliangalia video za kaizer), jamaa akaenda kufunguka matokeo yake tukala 4 tena za aina moja
Mkuu sidhani kama itakuwa rahisi hivyo. Ngoja tuone lakini kwa wakati huo mimi nimeshaamua kuchukua likizo isiyo na muda maalum.Uwezo anao sana ila amefika ukomo kwenye ufundishaji
Aje mwengne aendeleze jahazi
Sawa pumzika ni mawazo yakoMkuu sidhani kama itakuwa rahisi hivyo. Ngoja tuone lakini kwa wakati huo mimi nimeshaamua kuchukua likizo isiyo na muda maalum.
Ni kweli mkuu. Mimi mwenyewe kusema ukweli kwasasa sina starehe nyingine zaidi ya mpira. Lakini mpira wa Tanzania unakera sana asee. Yani kila kukicha ni madudu tu.Sawa pumzika ni mawazo yako
Wengine mpira ni kama burudani nyingne tu
Kufunga, kufungwa, suluhu jambo la kawaida kwenye michezo hata timu iwe kwenye hali gani
Uchizi wa level za juu mkuu, ukiondoa Aussems huyu Da Rosa nilimpenda sana lakini ukweli ni kwamba Simba kwake ni mzigo mkubwa!Ndio hiki kitu ambacho nimekiita uzembe. Mambo mengine yapo wazi kabisa. Lazima kocha ajue mbinu za kucheza mechi za knockout hizo za home and away.
Halafu unawezaje kumdharau mpinzani wako mnae compete katika level moja? Ni uchizi kabisa huo.
Hata huko utapigwa na muhaho tu...
Ona mashabiki wa Barca, Madrid, Man U, Juve wanavyotia huruma sasa, utafikiri hizo timu hazikuwahi kuwa giants of Europe...
Kula yamini tu komaa na Simba hadi kieleweke, miaka michache ijayo itaeudi kuwa ya neema kama ilivyokuwa miaka ya kina Chama, Mafisango, Masatu na kurudi nyuma zaidi...
Lakini indiscipline sio jambo ya kufumbia macho. Yawezekana Chama alikuwa anakunywa lakini mazoezi hachelewi wala kukosa.Uchizi wa level za juu mkuu, ukiondoa Aussems huyu Da Rosa nilimpenda sana lakini ukweli ni kwamba Simba kwake ni mzigo mkubwa!
Kuna lingine sikuzungumzia, Gomes ni mtu wa mabeef anzia kwa Kagere mpaka Mkude, tena wanakuja na sababu nyepesi eti Mkude mlevi wakati Chama nahisi ni mlevi kuliko.
Nilimpenda Aussems kwasababu alikuwa ana tabia kama za Klopp kuishi na wachezaji kama familia, hii inasaidia kuboost morale
Mimi ndio nimeandika leo mkuu sijawahi kuandika hapo kabla.Hata alivyoondoka kishongo sven si mlianzisha thread za hivi
Huko ndio kwangu sasa nilipolowea. Mimi ni scouser born and bred.Karibu england
Never walk alone
Majogoo tunawika wikiend tu