Leo natangaza rasmi kuacha kushabikia soka la Tanzania

Mashabiki wa simba wenye mioyo myepesi kama mtoa mada, watapata tabu sana msimu huu!

Huu ni mwanzo tu. Bado tutashuhudia vimbwanga vingi msimu huu.
Mimi nimeongelea mpira wa bongo kiujumla mkuu sio Simba peke yake.
 
Sawa sawa mkuu ngoja nije kwenye camp yako. Tubakie tu na Liverpool yetu. Bongo nyoso.
 
Mimi niliacha kufatilia hz timu za bongo mwaka 2019 kwenye kombe la mapinduz,simba walipofungwa na mtibwa mbovu
Kwakweli nimekuja kugundua napoteza nguvu na muda bure. Naamini sijafanya maamuzi mabovu.
 
Yes zote ni sababu za msingi kabisa zilizofanya niamue hivyo. Nimekuja kuona soka la bongo ni michosho tu ngoja mimi ni focus tu kwenye mpira wa mabeberu hamna namna.
Hivi bongo kuna kinachofanyika kwa standard 🤣🤣🤣

Huwa nawashangaa watu fulani mnakua kwenye banda mnaangalia labda mechi fulani ulaya mathalani chelsea vs Southampton halafu second half ya hiyo mechi kuna mechi nyingine bongo mathalani simba vs mwadui basi utasikia tuondolee hiyo mechi ya ulaya tuwekee simba vs mwadui 🤣🤣🤣,huwa nachekaga sana
 
Umechelewa karibu sisi wengine kitambo hatupo huko, wachekeshaji kibao
 
Kwakweli mkuu ni sawa na unakula mchemsho wako mzuri wa kuku wa kienyeji halafu mtu akunyang'ane akupe chips mayai.
 
Binafsi nitaendelea kuishabikia Simba japo kwasasa nimekubali..Simba inatimu mbovu Sana.. wachezaji wakawaida Sana..huyu banda Ni sawa na kichuya.. kiukweli kwasasa mchezaji mzuri Ni Bwaliya pekee..anaweza ku dribble kiasi flani.. lakini Banda kanoute..na Duncan Ni wachezaji wakawaida Sana..wanajua kucheza lakini sio tishio..labda sakho Nampa muda.
 
Na shirikisho kakumbana na mshale mwekundu

Akamuulize azam


Bora angeahirisha tu tena anaanzia nyumbani kwa mkapa ambako siku hizi wanatoka tu

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Utanipga adi nife uniambie viongoz wa Manchester united sio wajinga sikubaliana na ww
Wapo optimistic labda wanahisi Ole anahitaji muda kidogo zaidi anaweza kubadilisha mambo.
 
Ndio hivyo mkuu mimi nimeshautua mzigo huu maana ni kama gunia la misumari tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…