Landcruiser
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,805
- 599
Napenda kuchukua fursa hii mimi kama mimi kuwapongeza wale wote walioweza kuchaguliwa kujiunga na Vyuo vikuu na Taasisi mbalimbali za elimu ya juu.
Na pia natoa pongezi, kwa wale wote waliojitolea kwa moyo wote, kukusanya baadhi ya habari zinazohusu Elimu kwa ujumla na kuziPOST hapa ili kila mtu aweze kujikusanyia yanayomuhusu na naomba muendelee na moyo huohuo.
Najitolea kutembeza like kwa majembe yoote ya humu yanajijua hata wewe pia unaesoma hapa.... pokea like hyo.
Matusi ni dhambi kumbuka.
Muraa!!!!