Leo natembeza "Like" kwa wanajamvi za kutosha.

Landcruiser

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
1,805
Reaction score
599
Napenda kuchukua fursa hii mimi kama mimi kuwapongeza wale wote walioweza kuchaguliwa kujiunga na Vyuo vikuu na Taasisi mbalimbali za elimu ya juu.
Na pia natoa pongezi, kwa wale wote waliojitolea kwa moyo wote, kukusanya baadhi ya habari zinazohusu Elimu kwa ujumla na kuziPOST hapa ili kila mtu aweze kujikusanyia yanayomuhusu na naomba muendelee na moyo huohuo.
Najitolea kutembeza like kwa majembe yoote ya humu yanajijua hata wewe pia unaesoma hapa.... pokea like hyo.

Matusi ni dhambi kumbuka.

Muraa!!!!
 
Eeegh zeduduz ni murra mwenzio teh teh
 
Asante Muraa!!!, nimeziona za kutosha.
 
allenmwita nafanya kama vile umenpoke then nakupoke back. Pamoja sana jembee napenda unavyojibehave
 
Back
Top Bottom