Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
ThanksYou’re too honest. Asante sana kuonyesha una ukomavu kiimani na unao uelewa pia. I appreciate that.
Alisema hata malango ya kuzimu hayatalitikisa ni watu kupenda ya Dunia ila wapo watakao simamaHuwezi kupata ukristo safi kwenye Dunia ya Sasa mkuu Misingi yote imeshabomolewa
Muunganiko wa mwanamme mmoja na wanawake wanne sio ndoa?Kwa tafsiri yangu
Ndoa ni muunganiko wa kimwili kati ya watu wawili wa jinsia mbili tofauti.
Ok sawa mkuu na bahati mbaya mimi sikuwa mprotestant na Theology haifundishwi kama unavyofikiri..Where from? We mprotestanti tu huwezi kujua theology ya kunizidi ata chembe. Yani theology ya watu ambao tayari wapo in error ? Are you serious?🤣
Hakuna mwanadamu anaweza ku prove kuwa Mungu yupo na hakuna mwanadamu anaweza ku prove kuwa Mungu hayupo.HAhaha..
Mkuu Tusipende kuzungumza uongo na kucreate Conspiracy zisizo na maana! ,Ni lini ensteirn alikiri Mungu yupo?..
Na hata akikiri inabadilishaje Ukweli?
Lets Say nilikuwa nikitembea nikaona Jiwe njiani, Kwanini moja niseme hili jiwe limerushwa na mtu?
Kwanini lisiwe ni gari limedondosha jiwe hilo?
Nashangaa mpaka sasa hunathibitisha uwepp wa Mungu unatakaje nithibitishe kutokuwepo kwake while wewe hujathibitisha kuwepp.kwake..?
Kila mtu anajua Binadamu anatoka wapi anazaliwa nakua anazaa..
Lini kuna mtu amewahi kuumbwa ukamuona?
Embryology Its simple unaweza ukaisoma jinsi Sperm inavyoungana na ovum na kufanya mtoto step by step..
Acheni kupotosha na falacy zenu
Roho yenye kui prove ni jambo la kiroho pia. Ngoma hii ni ngumu kumeza.Hakuna mwanadamu anaweza ku prove kuwa Mungu yupo na hakuna mwanadamu anaweza ku prove kuwa Mungu hayupo.
The reason behind is, jambo la kiroho huwezi li prove kimwili. Ni sawa sawa mtu aseme kuwa prove kama huu ni upepo au si upepo, utaishia ku experience tu nguvu za huo upepo coz hauonekani.
Kila mtu aamini anachoamini, anaeamini Mungu yupo yuko sahihi maana ame experience presence yake, na anae amini Mungu hayupo yuko sahihi maana ame experience absence yake.
Mkuu mpaka leo unaamini upepo hauwezi kupimwa? Au kuwa proved?Hakuna mwanadamu anaweza ku prove kuwa Mungu yupo na hakuna mwanadamu anaweza ku prove kuwa Mungu hayupo.
The reason behind is, jambo la kiroho huwezi li prove kimwili. Ni sawa sawa mtu aseme kuwa prove kama huu ni upepo au si upepo, utaishia ku experience tu nguvu za huo upepo coz hauonekani.
Kila mtu aamini anachoamini, anaeamini Mungu yupo yuko sahihi maana ame experience presence yake, na anae amini Mungu hayupo yuko sahihi maana ame experience absence yake.
lazma uwe wa rohoni ili uweze kuprove yaani lazma uwe na roho mtakatifu 😀😀😀🤣🤣🤣🤣Roho yenye kui prove ni jambo la kiroho pia. Ngoma hii ni ngumu kumeza.
Hao wanawake wanne wanaukanganika vipi pamoja kwa wakati mmoja?Muunganiko wa mwanamme mmoja na wanawake wanne sio ndoa?
Duh, theology ni nini haswa mkuuWhere from? We mprotestanti tu huwezi kujua theology ya kunizidi ata chembe. Yani theology ya watu ambao tayari wapo in error ? Are you serious?[emoji1787]
HujaelewekaRoho yenye kui prove ni jambo la kiroho pia. Ngoma hii ni ngumu kumeza.
HujaelewekaRoho yenye kui prove ni jambo la kiroho pia. Ngoma hii ni ngumu kumeza.
ni mtihani ndani ya mtihani yani waumini mpka wanakufa hawajawahi kupata uzoefu wa hicho wanachoambiwa wanacho .lazma uwe wa rohoni ili uweze kuprove yaani lazma uwe na roho mtakatifu 😀😀😀🤣🤣🤣🤣
Toka umezaliwa kuna siku ulishaweza kutofautisha roho yako na akili yako physically?Hujaeleweka
Umeelewa ninachomaanisha usihamishe magoli mkuu. Sijasema kupimwa nimesema kuonyesha huu ni upepo, means uushike. Badala yake utaona mtokea yake au nguvu zake.Mkuu mpaka leo unaamini upepo hauwezi kupimwa? Au kuwa proved?
Upepo.unapimwa mpaka Direction yake na speed yake kwa kutumia Anemometer..
Basi kumbe mimi napinga ndoa kma mkataba na wewe unatetea ndoa kama asili ya binadamu , kwa apo tupo pamoja.Hao wanawake wanne wanaukanganika vipi pamoja kwa wakati mmoja?
Kama lengo lako ni kusema kuoa wanawake wanne, Jibu langu ni hao wanawake wote kila mmoja atakamilisha ndoa na mme wake kwa wakati wake, sio kwa pamoja.
Naongelea vitabu vya dini kama alivyoomba andiko.Mkuu unamwambia asikariri vitabu. Wewe haya unayoyasema umeyatoa wapi!? Je umesoa article mbali mbali au umeoteshwa? Kama umesoa article mbali mbali ndicho hata yeye aliomba reference ili ajisomee mwenye. Unless uwe unaoteshwa
Umefanya tafsiri nyepesi sana mkuu. Niliposema mambo ya kiroho sikusema Roho Mtakatifu. Kuna tofauti hapo kuulazma uwe wa rohoni ili uweze kuprove yaani lazma uwe na roho mtakatifu 😀😀😀🤣🤣🤣🤣
Roho ni nini na akili ni nini, tuanzie hapo then nitakupa jibu.Toka umezaliwa kuna siku ulishaweza kutofautisha roho yako na akili yako physically?
OkNaongelea vitabu vya dini kama alivyoomba andiko.