Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

Where from? We mprotestanti tu huwezi kujua theology ya kunizidi ata chembe. Yani theology ya watu ambao tayari wapo in error ? Are you serious?🤣
Ok sawa mkuu na bahati mbaya mimi sikuwa mprotestant na Theology haifundishwi kama unavyofikiri..
Siku njema!
 
HAhaha..
Mkuu Tusipende kuzungumza uongo na kucreate Conspiracy zisizo na maana! ,Ni lini ensteirn alikiri Mungu yupo?..
Na hata akikiri inabadilishaje Ukweli?

Lets Say nilikuwa nikitembea nikaona Jiwe njiani, Kwanini moja niseme hili jiwe limerushwa na mtu?
Kwanini lisiwe ni gari limedondosha jiwe hilo?

Nashangaa mpaka sasa hunathibitisha uwepp wa Mungu unatakaje nithibitishe kutokuwepo kwake while wewe hujathibitisha kuwepp.kwake..?

Kila mtu anajua Binadamu anatoka wapi anazaliwa nakua anazaa..
Lini kuna mtu amewahi kuumbwa ukamuona?
Embryology Its simple unaweza ukaisoma jinsi Sperm inavyoungana na ovum na kufanya mtoto step by step..

Acheni kupotosha na falacy zenu
Hakuna mwanadamu anaweza ku prove kuwa Mungu yupo na hakuna mwanadamu anaweza ku prove kuwa Mungu hayupo.

The reason behind is, jambo la kiroho huwezi li prove kimwili. Ni sawa sawa mtu aseme kuwa prove kama huu ni upepo au si upepo, utaishia ku experience tu nguvu za huo upepo coz hauonekani.

Kila mtu aamini anachoamini, anaeamini Mungu yupo yuko sahihi maana ame experience presence yake, na anae amini Mungu hayupo yuko sahihi maana ame experience absence yake.
 
Roho yenye kui prove ni jambo la kiroho pia. Ngoma hii ni ngumu kumeza.
 
Hakuna mwanadamu anaweza ku prove kuwa Mungu yupo na hakuna mwanadamu anaweza ku prove kuwa Mungu hayupo.

The reason behind is, jambo la kiroho huwezi li prove kimwili. Ni sawa sawa mtu aseme kuwa prove kama huu ni upepo au si upepo, utaishia ku experience tu nguvu za huo upepo coz hauonekani.

Kila mtu aamini anachoamini, anaeamini Mungu yupo yuko sahihi maana ame experience presence yake, na anae amini Mungu hayupo yuko sahihi maana ame experience absence yake.
Mkuu mpaka leo unaamini upepo hauwezi kupimwa? Au kuwa proved?
Upepo.unapimwa mpaka Direction yake na speed yake kwa kutumia Anemometer..
 
Muunganiko wa mwanamme mmoja na wanawake wanne sio ndoa?
Hao wanawake wanne wanaukanganika vipi pamoja kwa wakati mmoja?

Kama lengo lako ni kusema kuoa wanawake wanne, Jibu langu ni hao wanawake wote kila mmoja atakamilisha ndoa na mme wake kwa wakati wake, sio kwa pamoja.
 
Mkuu mpaka leo unaamini upepo hauwezi kupimwa? Au kuwa proved?
Upepo.unapimwa mpaka Direction yake na speed yake kwa kutumia Anemometer..
Umeelewa ninachomaanisha usihamishe magoli mkuu. Sijasema kupimwa nimesema kuonyesha huu ni upepo, means uushike. Badala yake utaona mtokea yake au nguvu zake.

Kujua Speed na direction ya upepo haina maana unauona upepo wenyewe.
 
Hao wanawake wanne wanaukanganika vipi pamoja kwa wakati mmoja?

Kama lengo lako ni kusema kuoa wanawake wanne, Jibu langu ni hao wanawake wote kila mmoja atakamilisha ndoa na mme wake kwa wakati wake, sio kwa pamoja.
Basi kumbe mimi napinga ndoa kma mkataba na wewe unatetea ndoa kama asili ya binadamu , kwa apo tupo pamoja.
 
Mkuu unamwambia asikariri vitabu. Wewe haya unayoyasema umeyatoa wapi!? Je umesoa article mbali mbali au umeoteshwa? Kama umesoa article mbali mbali ndicho hata yeye aliomba reference ili ajisomee mwenye. Unless uwe unaoteshwa
Naongelea vitabu vya dini kama alivyoomba andiko.
 
lazma uwe wa rohoni ili uweze kuprove yaani lazma uwe na roho mtakatifu 😀😀😀🤣🤣🤣🤣
Umefanya tafsiri nyepesi sana mkuu. Niliposema mambo ya kiroho sikusema Roho Mtakatifu. Kuna tofauti hapo kuu
 
Back
Top Bottom