Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

Did you that if gravity was slightly more powerful the universe would collapse into a ball?
And if gravity was slightly less powerful the universe would fly apart, there would be no stars or planets?
What do I mean?
It's just that gravity is precisely as strong as needs to be, to support creation and life.
And if the ratio between the electromagnetic force to the strong force wasn't one percent, life wouldn't exist.

What are the odds that all would happen by itself?

I'm not trying to convince you that there is a god, I can't prove it, tuelewane hapo, but the precision of the universe at least makes it logical to suggest there is a creator.

Misunderstanding, sijasema "the universe suggest" hapana, "the complexity of the universe, suggests".
Hio koma(,) hapo ni ya muhimu sana, nadhani ushanielewa.


Na kuhusu contradictions, sawa umesema vyema, ni swali zuri nimelipenda, lakini umeacha point ya msingi umechukua point nyingine inayokufaa kweny kuleta hoja zako zingine, sawa tuendelee hukohuko.
Kabla hatujaingia ndani zaidi kweny hili swali inabidi ubadilishe kwanza mtazamo wako, tuishi kweny dhana kwamba mungu ameumba ulimwengu maana swali ulilouliza lazima tuweke hio assumption. Umekubali?
Swala la mungu kuumba ulimwengu unaopinga uwepo wake yeye mwenyew ni maamuzi yake, its not coincidental, alijua itatokea hivo and he still did proceed, angetaka kuumba ulimwengu usiokuwa na contradictions angetuumba kama marobot, tusiokuwa na utashi wa kifikra na uwezo wa kuchanganua mambo, lakini hakufanya hivo, kwann? Kwasababu moja tuu, upendo wa dhati, upendo wa dhati unakuja from free will and free choice, kuna mwana falsafa mmoja alisema "if you really love something, set it free, if it comes back it's yours forever, if it doesn't, it wasn't yours to begin with" sasa hapo ndo linapokuja swala la kwann katupa free minds and choices.

Lucifer was the first being to rebel from God because he had free will and a free mind to choose whether to serve God or serve himself.
So there you have it, free-will, free-will is a gift from god, angetaka angeumba marobot programmed kumwabudu na kumwinamia 24/7 lakini hapana hakufanya hivo(and that would have been very easy for him(stress-free), but there is no true love without free will.
 
Basi kumbe mimi napinga ndoa kma mkataba na wewe unatetea ndoa kama asili ya binadamu , kwa apo tupo pamoja.
Ndoa sio mkataba wala sheria, mkataba ni wa kukupa haki ya kuishi na huyo mwanamke kisheria. Ndoa ni lile tendo, ndio maana wanasema amefanya tendo la ndoa nje ya ndoa.
 
Ndoa sio mkataba wala sheria, mkataba ni wa kukupa haki ya kuishi na huyo mwanamke kisheria. Ndoa ni lile tendo, ndio maana wanasema amefanya tendo la ndoa nje ya ndoa.
Hiyo kisheria ndio tunaikataa kwa sababu imekaa kitapel na kuegemea upande mmoja tu , tofauti na apo tupo sawa.
 
Mimi siwezi kukujibu kwa maneno ,tu ulipaswa uijue roho yako automatically kwa sababu unayo wewe
Huwezi kujibu kwa maneno lakini unataka mimi nikujibu kwa maneno. Kwani wewe huna roho? Kama unayo si unijibu unavyoijua roho yako kuwa ni nini na akili yako ni nini?
 
Huwezi kujibu kwa maneno lakini unataka mimi nikujibu kwa maneno. Kwani wewe huna roho? Kama unayo si unijibu unavyoijua roho yako kuwa ni nini na akili yako ni nini?
😄😄 mimi na wewe wote ni wazee wa kuzunguka mbuyu na kuwekeana mitego , hatutamaliza leo mkuu ,ngoja nilale🤣🤣🤣🤣🤣
 
Extra biblical resources zinadai hao walikuwa watoto wa mke Mkubwa wa Bwana Joseph.

nenda Google uwape huu mstari "joseph the carpenter first wife".

Bible
inasema uliowataja walikuwa ni wadogo zake Emmanuel.

Swali hili kuna mwamba amelijibu kwa umakini...mfuate hapa

Bila shaka utata utakoma!
 
🤣😳🙄Mixed feeling....
Yesi mtt wa Zakaria, hii mpya tena
Jf Kuna mambo jmn
Joannah Missy Gf
 
Huo sio uthibitisho,ni sawa na utwambie wamasai wote wamekeketwa afu tukiomba uthibitisho useme huo ni utamaduni wao,wewe lete andiko lililosema wazi kuwa Maria alikuwa na umri fulani,ni maandiko ya Biblia tu tutayakubali ila sio historia za watu
Huu Uzi una vituko🤣
Unachekesha
 

Regarding the preciseness of the constants of nature and the apparent design it posits, I am very familiar with that concept. Perhaps to a greater degree than just gravity, electromagnetic forces and strong force as you put it here.

I read Martin Amis' (The UK's Astronomer Royal) "Just Six Numbers : The Deep Forces That Shape The Universe".

I read John D. Barrow's "The Constants of Nature: From Alpha To Omega , The Numbers That Encode The Deepest Secrets of The Universe".

I just finished Philip Goff's "Why : The Purpose of The Universe".

So, I am very familiar, not only on gravity, but down to the nitty gritty of the weak and strong nuclear forces that hold matter together and allow stars to burn, and many many even more complex things that we can learn from those books, and others.

But you either seem to not understand some very basic critiques I provided, or, if you understand them, you must be in some kind of cognitive dissonance that it is worth repeating these critiques.

Let me repeat this.

Do you not see that a universe in which complexity cannot arise on its own, one in which complexity must be designed, forbids the existence of a God who designs all?

You have two strict options.

1. Complexity does not need a grand designer.
2. Complexity cannot happen without a grand designer.

Let us examine these two options.

1. Complexity does not need a Grand designer. Complex systems can evolve from simpler systems. Perhaps these simpler systems are always there with no beginning, they can just evolve into more complex systems, with billions of years, the systems become so complex that when a mere human being looks at it, he sees ckear marks of definite deliberate design, even when there is no actual deliberate design.

This system does not need God to exist.

2. Complexity cannot happen without a grand designer. On the surface, this may seem like an argument for the existence of God. You made this argument.

The universe seem to be finetuned. Therefire there nust be a finetuner who started it all.

But there is a problem in the basic logic of this argument. A problem I posed above, one you did not address.

If complexity must be created, it cannot arise onnits own, and God created this universe, therefore Gid humself is complex, then that God too must be created, and cannot be the first mover of all, so your God will need his Gid to create him, and his God will need another God to create him, and tge chain will go on and on.

Because, complexity cannot arise on its own, it must be created.

You will see that, in this wirld, God the creatir of all cannot exist.

So.

1. If complexity can arise out if simplicity, we do not need God to explain a complex world.

2. If complexity cannot arise out if simplicity, we cannot have God who creates all to explain the world.

Either way, God is either not needed or impossible.

On contradiction and the problem of evil, I will post a chart with the Epicurean Paradox for you to explain.
 
On contradictions and the problem of evil, please walk through the logic of this chart and try to resolve the problems shown with regards to an all knowing, all powerful and all loving God.

 
Kwann Yahya lakini 🤣🤣🤣🤣
Naam, tuanzie kuwa Yahya ni mtoto wa Zakaria na Qur'an ipo wazi kwa hilo.

Tukikubaliana hilo tumtafute mama'ke ni nani?

Yangu yote nayatowa ndani ya Qur'an.
 
Perhaps these simpler systems are always there with no beginning, they can just evolve into more complex systems
So, it is safe to say that "the simpler systems have no beginning" and it is not safe to say "they were created by a designer"
I myself have read few books on the matter, but i guess we have different kinds of reasoning, you will reason about "A" and think its makes sense, and I will reason about "A" and think it doesn't make sense.
Don't get me wrong, I'm as much as physics enthusiast just like you, but I always choose god instead of a bing-bang.
 
Achana na hadithi (Ngano,visasili,...) Na stori za watu wa Mashariki ya mbali,Ambazo ni upuuzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…