min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mimi siwezi kukujibu kwa maneno ,tu ulipaswa uijue roho yako automatically kwa sababu unayo weweRoho ni nini na akili ni nini, tuanzie hapo then nitakupa jibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siwezi kukujibu kwa maneno ,tu ulipaswa uijue roho yako automatically kwa sababu unayo weweRoho ni nini na akili ni nini, tuanzie hapo then nitakupa jibu.
Did you that if gravity was slightly more powerful the universe would collapse into a ball?Kwa nini unaona the universe suggests there must be a grand creator, a designer?
Ikiwa complexity ni lazima iwe na designer, huoni kwamba huyo designer naye itabidi awe complex zaidi ya hicho kilichokuwa designed, kiasi kwamba na yeye atahitaji kuwa na designer complex zaidi, na huyo naye awe na wake complex zaidi, ad infinitum, ad nauseam ?
Umeandika vizuri "the universe suggests...".
Inabidi tuwe waangalifu sana kwenye habari za "the universe suggests...".
Unajuaje kipi ni kweli "the universe suggests..." na kipi ni bias yako ya kiutu tu?
Nitakupa mfano. Tuongelee rangi. Unaweza kusema rangi zipo, nyekundu, bluu etc. Hizi tunaziona. Ni jambo ambalo halina mjadala. The universe suggests rangi zipo, hivyo zipo.
Lakini, rangi hazipo. Rangi ni matokeo ya ubongo tu unavyofanya kazi na mwanga. Vitu havina rangi. Vitu vinatoa mwanga tu, jinsi ubongo unavyotafsiri huo mwanga ndiyo tunapata rangi. Na kuna watu wako color blind, kuna wanyama hawaoni rangi fulani.
Sasa hapo, ukitaka kwenda na uzoefu wako tu kusema "the universe suggests there is color" utapotea.
Sasa huoni argument ya "the universe suggest..." iko so prone to anthropic bias, the bias of looking at things from a human point of view, to the extent of assigning a designer God to the universe?
Pia, umesema tu contradiction haikwepeki. Ni sehemu ya maisha. Lakini hujajibu kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, aumbe ulimwengu sio tu wenye contradictions, bali mpaka unao conntradict uwepo wake yeye mwenyewe (problem of evil).
Hujajibu swali hili.
Nakuuliza kwa nini Mungu kaumba ulimwengu unao contradict uwepo wake?
Unaniambia contradiction ni sehemu ya maisha tu.
Hujajibu swali hapo. Unaonesha hujui jibu tu, kama hata swali umelielewa.
Ndoa sio mkataba wala sheria, mkataba ni wa kukupa haki ya kuishi na huyo mwanamke kisheria. Ndoa ni lile tendo, ndio maana wanasema amefanya tendo la ndoa nje ya ndoa.Basi kumbe mimi napinga ndoa kma mkataba na wewe unatetea ndoa kama asili ya binadamu , kwa apo tupo pamoja.
Hiyo kisheria ndio tunaikataa kwa sababu imekaa kitapel na kuegemea upande mmoja tu , tofauti na apo tupo sawa.Ndoa sio mkataba wala sheria, mkataba ni wa kukupa haki ya kuishi na huyo mwanamke kisheria. Ndoa ni lile tendo, ndio maana wanasema amefanya tendo la ndoa nje ya ndoa.
Huwezi kujibu kwa maneno lakini unataka mimi nikujibu kwa maneno. Kwani wewe huna roho? Kama unayo si unijibu unavyoijua roho yako kuwa ni nini na akili yako ni nini?Mimi siwezi kukujibu kwa maneno ,tu ulipaswa uijue roho yako automatically kwa sababu unayo wewe
😄😄 mimi na wewe wote ni wazee wa kuzunguka mbuyu na kuwekeana mitego , hatutamaliza leo mkuu ,ngoja nilale🤣🤣🤣🤣🤣Huwezi kujibu kwa maneno lakini unataka mimi nikujibu kwa maneno. Kwani wewe huna roho? Kama unayo si unijibu unavyoijua roho yako kuwa ni nini na akili yako ni nini?
Extra biblical resources zinadai hao walikuwa watoto wa mke Mkubwa wa Bwana Joseph.Yakobo, Andrea ,simoni na yuda walikuwa na umri mdogo kuliko yesu...
Sasa unasemaje walikuwa watoto Wa mama mwingine aliyefariki?
Kuna Vitu vya kujifunza nipo kujifunza mkuu..
Na kama umenotice mara zote wanapotajwa hao kwenye Biblia biblia husema "And his brother...."
🤣😳🙄Mixed feeling....Umeleta porojo bila ushahidi wowote.
Yesu ni mtoto wa Zakaria na Kaka yake ni Yahya.
Mimi ni Muislam lakini sikubaliani na tafsiri zilizozoweleka za kuwa Yesu kazaliwa kimiujiza. Yesu kazaliwa kama mtu yeyote yule na ana baba na mama.
Waislam wa zamani walifanya makosa ya kutumia biblia kuitafsiri Qur'an.
Qur'an ipo very clear kwenye hili.
Huu Uzi una vituko🤣Huo sio uthibitisho,ni sawa na utwambie wamasai wote wamekeketwa afu tukiomba uthibitisho useme huo ni utamaduni wao,wewe lete andiko lililosema wazi kuwa Maria alikuwa na umri fulani,ni maandiko ya Biblia tu tutayakubali ila sio historia za watu
Huyo anapingana mpaka na Qur’an yake.
Kwann Yahya lakini 🤣🤣🤣🤣
Did you that if gravity was slightly more powerful the universe would collapse into a ball?
And if gravity was slightly less powerful the universe would fly apart, there would be no stars or planets?
What do I mean?
It's just that gravity is precisely as strong as needs to be, to support creation and life.
And if the ratio between the electromagnetic force to the strong force wasn't one percent, life wouldn't exist.
What are the odds that all would happen by itself?
I'm not trying to convince you that there is a god, I can't prove it, tuelewane hapo, but the precision of the universe at least makes it logical to suggest there is a creator.
Misunderstanding, sijasema "the universe suggest" hapana, "the complexity of the universe, suggests".
Hio koma(,) hapo ni ya muhimu sana, nadhani ushanielewa.
Na kuhusu contradictions, sawa umesema vyema, ni swali zuri nimelipenda, lakini umeacha point ya msingi umechukua point nyingine inayokufaa kweny kuleta hoja zako zingine, sawa tuendelee hukohuko.
Kabla hatujaingia ndani zaidi kweny hili swali inabidi ubadilishe kwanza mtazamo wako, tuishi kweny dhana kwamba mungu ameumba ulimwengu maana swali ulilouliza lazima tuweke hio assumption. Umekubali?
Swala la mungu kuumba ulimwengu unaopinga uwepo wake yeye mwenyew ni maamuzi yake, its not coincidental, alijua itatokea hivo and he still did proceed, angetaka kuumba ulimwengu usiokuwa na contradictions angetuumba kama marobot, tusiokuwa na utashi wa kifikra na uwezo wa kuchanganua mambo, lakini hakufanya hivo, kwann? Kwasababu moja tuu, upendo wa dhati, upendo wa dhati unakuja from free will and free choice, kuna mwana falsafa mmoja alisema "if you really love something, set it free, if it comes back it's yours forever, if it doesn't, it wasn't yours to begin with" sasa hapo ndo linapokuja swala la kwann katupa free minds and choices.
Lucifer was the first being to rebel from God because he had free will and a free mind to choose whether to serve God or serve himself.
So there you have it, free-will, free-will is a gift from god, angetaka angeumba marobot programmed kumwabudu na kumwinamia 24/7 lakini hapana hakufanya hivo(and that would have been very easy for him(stress-free), but there is no true love without free will.
On contradictions and the problem of evil, please walk through the logic of this chart and try to resolve the problems shown with regards to an all knowing, all powerful and all loving God.Did you that if gravity was slightly more powerful the universe would collapse into a ball?
And if gravity was slightly less powerful the universe would fly apart, there would be no stars or planets?
What do I mean?
It's just that gravity is precisely as strong as needs to be, to support creation and life.
And if the ratio between the electromagnetic force to the strong force wasn't one percent, life wouldn't exist.
What are the odds that all would happen by itself?
I'm not trying to convince you that there is a god, I can't prove it, tuelewane hapo, but the precision of the universe at least makes it logical to suggest there is a creator.
Misunderstanding, sijasema "the universe suggest" hapana, "the complexity of the universe, suggests".
Hio koma(,) hapo ni ya muhimu sana, nadhani ushanielewa.
Na kuhusu contradictions, sawa umesema vyema, ni swali zuri nimelipenda, lakini umeacha point ya msingi umechukua point nyingine inayokufaa kweny kuleta hoja zako zingine, sawa tuendelee hukohuko.
Kabla hatujaingia ndani zaidi kweny hili swali inabidi ubadilishe kwanza mtazamo wako, tuishi kweny dhana kwamba mungu ameumba ulimwengu maana swali ulilouliza lazima tuweke hio assumption. Umekubali?
Swala la mungu kuumba ulimwengu unaopinga uwepo wake yeye mwenyew ni maamuzi yake, its not coincidental, alijua itatokea hivo and he still did proceed, angetaka kuumba ulimwengu usiokuwa na contradictions angetuumba kama marobot, tusiokuwa na utashi wa kifikra na uwezo wa kuchanganua mambo, lakini hakufanya hivo, kwann? Kwasababu moja tuu, upendo wa dhati, upendo wa dhati unakuja from free will and free choice, kuna mwana falsafa mmoja alisema "if you really love something, set it free, if it comes back it's yours forever, if it doesn't, it wasn't yours to begin with" sasa hapo ndo linapokuja swala la kwann katupa free minds and choices.
Lucifer was the first being to rebel from God because he had free will and a free mind to choose whether to serve God or serve himself.
So there you have it, free-will, free-will is a gift from god, angetaka angeumba marobot programmed kumwabudu na kumwinamia 24/7 lakini hapana hakufanya hivo(and that would have been very easy for him(stress-free), but there is no true love without free will.
= Miss Jf.
Weka ushahidi wapi nilipopingana na Qur'an?Huyo anapingana mpaka na Qur’an yake.
Naam, tuanzie kuwa Yahya ni mtoto wa Zakaria na Qur'an ipo wazi kwa hilo.Kwann Yahya lakini 🤣🤣🤣🤣
So, it is safe to say that "the simpler systems have no beginning" and it is not safe to say "they were created by a designer"Perhaps these simpler systems are always there with no beginning, they can just evolve into more complex systems
Wanajiropokea tu,yaani Mtu anaamua kutunga tu mambo yake