Tunajiropokea vipi? Hutaki kuwa Yahya ni mtoto wa Zakaria? Soma:Wanajiropokea tu,yaani Mtu anaamua kutunga tu mambo yake
Yusuf tayari alikuwa na watoto wakati anamchumbia Mariam. Baada ya kupewa taarifa na Malaika ma kuagizwa asimdharirishe Mariam kwa kumiacha sababu mpaka wakati huo tayari Mariam alikuwa ni Mjamzito. Yusuf alimchukua Mariam, akaishi naye na hakuwahi kuzaa naye.Mimi na ugalatia wangu nashangazwa sana na wanaomuita Maria kuwa ni bikira wakati Yesu alikuwa na wadogoze ambao wengine wakawa Wanafunzi wake
I know the "Epicurean paradox"On contradictions and the problem of evil, please walk through the logic of this chart and try to resolve the problems shown with regards to an all knowing, all powerful and all loving God.
View attachment 2877341
Haka ka story mudy alikakopi kwenye injiliTunajiropokea vipi? Hutaki kuwa Yahya ni mtoto wa Zakaria? Soma:
Qur'an19:7. (Akaambiwa): Ewe Zakariya! Hakika Sisi tunakubashiria mwana; jina lake ni Yahya. Hatujapata kumpa jina hilo yeyote kabla yake
Hapo kwa kutumia hiyo tafsiri ya Qur'an iliyokuwepo, bila kuirekebisha inasema hivyo.
Unachopinga hapo ni nini?
Even if I do not want to speculate about the origins of simpler systems.So, it is safe to say that "the simpler systems have no beginning" and it is not safe to say "they were created by a designer"
I myself have read few books on the matter, but i guess we have different kinds of reasoning, you will reason about "A" and think its makes sense, and I will reason about "A" and think it doesn't make sense.
Don't get me wrong, I'm as much as physics enthusiast just like you, but I always choose god instead of a bing-bang.
Muslims wanaamini biblia ni neno la Mungu ila imechezewa na watu na kupotosha ukweli ndio maana ikaletwa qur’an ili kurudisha ujumbe kusudiwa wa Mungu, na ili ibaki hivyo inatakiwa kubaki kwa lugha yae asili ya kiarabu.Umeleta porojo bila ushahidi wowote.
Yesu ni mtoto wa Zakaria na Kaka yake ni Yahya.
Mimi ni Muislam lakini sikubaliani na tafsiri zilizozoweleka za kuwa Yesu kazaliwa kimiujiza. Yesu kazaliwa kama mtu yeyote yule na ana baba na mama.
Waislam wa zamani walifanya makosa ya kutumia biblia kuitafsiri Qur'an.
Qur'an ipo very clear kwenye hili.
Ndiyo tunataka andikohuo ulikuwa utamaduni wa wayahudi wote, kasome historia ya wayahudi
Muslims wanaamini biblia ni neno la Mungu ila imechezewa na watu na kupotosha ukweli ndio maana ikaletwa qur’an ili kurudisha ujumbe kusudiwa wa Mungu, na ili ibaki hivyo inatakiwa kubaki kwa lugha yae asili ya kiarabu.Umeleta porojo bila ushahidi wowote.
Yesu ni mtoto wa Zakaria na Kaka yake ni Yahya.
Mimi ni Muislam lakini sikubaliani na tafsiri zilizozoweleka za kuwa Yesu kazaliwa kimiujiza. Yesu kazaliwa kama mtu yeyote yule na ana baba na mama.
Waislam wa zamani walifanya makosa ya kutumia biblia kuitafsiri Qur'an.
Qur'an ipo very clear kwenye hili.
Wewe sikubishii, maana nyie ni watu wa mastory ya town, huwa mnaripuka na mastori yenu vile mpendavyo.Umeleta porojo bila ushahidi wowote.
Yesu ni mtoto wa Zakaria na Kaka yake ni Yahya.
Mimi ni Muislam lakini sikubaliani na tafsiri zilizozoweleka za kuwa Yesu kazaliwa kimiujiza. Yesu kazaliwa kama mtu yeyote yule na ana baba na mama.
Waislam wa zamani walifanya makosa ya kutumia biblia kuitafsiri Qur'an.
Qur'an ipo very clear kwenye hili.
Kwanza tuwe na heshima mijadala kama hii, futa upumbavu wako onesha hekima zako. Siyo unakuja na "derogatory terminologies".Haka ka story mudy alikakopi kwenye injili
Aisee yaan shida inakuja nachoka kuandika, natamani niendelee but nachoka, kwann tusimshauri Maxence Melo aweke ile kama ya twitter, jukwaa la audio kama podcast flani ivi, but anyway lets make it short, you won.Even if I do not want to speculate about the originnif simpker systems.
You are still caught withbtwo options.
1. Complex systems can arise out of simpler systems. Therefore, God the grand designer is not needed.
2. Complex systems cannot arise out of simpler systems, they must be designed by more complex systems. Therefore God is impossible.
Either God is not needed to explain the universe, or God is impossible.
If this was chess, you would have moved from a Zugzwang straight into a checkmate!
This is religious balderdash, faith based hogwash full of a priori fallacies and circular logic.I know the "Epicurean paradox"
The wrong thing about this paradox is that, you are trying to understand/explain God in your own humanly way.
Kiranga the simple truth is that, God wants things to happen, he just lets things happen, yes he knows what will happen if he creates lucifer, yes he knows some angels will rebel against him, yes he knew humans will rebel and insult him, but he let's it happen.
He knows that even if he tests you, whether you will overcome the test, or fall for the test, but he just lets it happen, its very simple. LET IT HAPPEN.
Mimi ni Muislam lakini siamini hayo usemayo wewe. Biblia haijawahi kuwa "neno la Mungu" kwa Waislam.Muslims wanaamini biblia ni neno la Mungu ila imechezewa na watu na kupotosha ukweli ndio maana ikaletwa qur’an ili kurudisha ujumbe kusudiwa wa Mungu, na ili ibaki hivyo inatakiwa kubaki kwa lugha yae asili ya kiarabu.
Umethibitisha hapo juu kuwa qur'an pia imechakachuliwa na walioitafsiri kutoka kwenye biblia.
Swali langu kwako ni hili....
1. a. Kwa nini walitumia biblia kuitafsiri qur'an ili hali qur’an ilikuja kurekebisha kilichopotoshwa kwenye biblia?
b. Wakati uko madrasa ulijifunza hiyo qur’an isiyotokana na biblia au ulitumia iliyo tafsiriwa kutoka kwenye biblia?
c. Naoba sura na mstari unaosema Yesu ni mtoto wa Zakaria.
Natamani kujifunza kupitia uelewa wako sio kubishana. Asante
Hata huko kuchoka kuandika nako ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Aisee yaan shida inakuja nachoka kuandika, natamani niendelee but nachoka, kwann tusimshauri Maxence Melo but anyway lets make it short, you won.
Badly, sijawahi kuiamini Quran...maana mshasema ni hadithi,hapo huwa nakumbuka Ile habari ya utotoni"HADITHI njoo, UONGO njoo utamu kolea......Tunajiropokea vipi? Hutaki kuwa Yahya ni mtoto wa Zakaria? Soma:
Qur'an19:7. (Akaambiwa): Ewe Zakariya! Hakika Sisi tunakubashiria mwana; jina lake ni Yahya. Hatujapata kumpa jina hilo yeyote kabla yake
Hapo kwa kutumia hiyo tafsiri ya Qur'an iliyokuwepo, bila kuirekebisha inasema hivyo.
Unachopinga hapo ni nini?
Daa jamani mnatoaga wapi hizo nukuu zenu? Embu tupia hapa hicho kitabu chako kinachoelezea hayo yoteAlievunja ndoa ya yusuph na mke wake wa Kwanza Ni Nani? Maana biblia inasema kabla ya MARIAMU tayar alikua na MKE na wototo 6, ambao ndo Kaka zake na dada zake yesu.
Utanibishia vipi na nimeweka ushahidi wa tafsiri ya Qur'an?Wewe sikubishii, maana nyie ni watu mastory ya town, huwa mnaripula ma mastori yenu vile mpendavyo.
Nani hao ambao "mshasema"?Au unaota tu? Au huelewi maana ya neno hadith katika Uislam? Katika Uislam kuna Qur'anambayo ni mbali kabisa na zinzoitwa "hadith", kama haitoshi, Waislam hawakubaliani kabisa na Hadith ambazo haziendani na Qur'an.Badly, sijawahi kuiamini Quran...maana mshasema ni hadithi,hapo huwa nakumbuka Ile habari ya utotoni"HADITHI njoo, UONGO njoo utamu kolea......
Hadithi ni simulizi za kutunga kuburudisha jamii....Asante Shangazi
Sawa.Hata huko kuchoka kuandika nako ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, angekutia nguvu mtetezi wake usichoke kirahisi hivi.
Huko kuchoka ni ushahidi huyo Mungu hayupo, umemtengeneza wewe tu na wenzako kwa hadithi za mapokeo.
Pia, naona tatizo huna point za kimantiki, unatumia kuchoka kama exit strategy tu.
Ni vyema ukaelezea with refference mkuuYusuf tayari alikuwa na watoto wakati anamchumbia Mariam. Baada ya kupewa taarifa na Malaika ma kuagizwa asimdharirishe Mariam kwa kumiacha sababu mpaka wakati huo tayari Mariam alikuwa ni Mjamzito. Yusuf alimchukua Mariam, akaishi naye na hakuwahi kuzaa naye.
Katika masimulizi Yisuf aliamua kutomgusa Mariam. Hilo la kwamba alizaa naye halipo.