FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Tunajiropokea vipi? Hutaki kuwa Yahya ni mtoto wa Zakaria? Soma:Wanajiropokea tu,yaani Mtu anaamua kutunga tu mambo yake
Qur'an19:7. (Akaambiwa): Ewe Zakariya! Hakika Sisi tunakubashiria mwana; jina lake ni Yahya. Hatujapata kumpa jina hilo yeyote kabla yake
Hapo kwa kutumia hiyo tafsiri ya Qur'an iliyokuwepo, bila kuirekebisha inasema hivyo.
Unachopinga hapo ni nini?