Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

Mimi na ugalatia wangu nashangazwa sana na wanaomuita Maria kuwa ni bikira wakati Yesu alikuwa na wadogoze ambao wengine wakawa Wanafunzi wake
Wadogoze au wakubwaze😊😊😊😊🚶
Sasa si alimzaa akiwa bikra mkuu. Tena bila mtwangio kumgusa! Hoja yako ingekuwa na mashiko kama kabla ya kumzaa Yesu alikuwa tayari na watoto, nilidhani!
Umejuaje bikra yake ni aina yake,mkuu unafurahisha sana
emoji38.png
Alievunja ndoa ya yusuph na mke wake wa Kwanza Ni Nani? Maana biblia inasema kabla ya MARIAMU tayar alikua na MKE na wototo 6, ambao ndo Kaka zake na dada zake yesu.
Bikra kabla ya kuzaliwa Yesu.
NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO,

YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ? (HUU NDIO ULIKUWA UTARATIBU WA KUOA SI KWA WAISRAEL PEKEE BALI WAAFRIKA, WAARABU, N.K.)
 
Wacha picha ziongee. Tutapata kufikiri, Je Yusufu alikuwa na Umri gani wakati Yesu anazaliwa?

Kwa mujibu wa Imani ya Orthodox, hii ni picha ya yusufu akiwa na Yesu angali mtoto.

1705670199802.png


Yusufu akiwa na Yesu mdogo

1705670306891.png


Yusufu akiwa na yesu kazini kwenye Useremala

1705670383530.png


Yesu na mama yake wakimwangalia Yusufu (Je alikuwa mgonjwa?)

1705670513510.png



Yusufu akimfundisha Yesu uselemara


SWALI LA MSINGI JE YUSUFU ALIKUWA NA MIAKA MINGAPI WAKATI YESU ANAZALIWA?

Kwa mijibu wa Church Fathers alikuwa na miaka takriban 80.

Na maandiko mengine yanasema tayari alishakuwa na ndoa ya kwanza alipozaa watoto 6 akiwemo mmoja aitwaye James!

Source:
 
MUHIMU: NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO, SWALI NI YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ?

Hata mama yake Yesu alitolewa posa na Yusufu akiwa nyumbani kwao na akahamia kwa Yusufu akiwa na miaka 14 hadi 15, Huu ndio ulikuwa utamaduni wao na kwa kiasi kikubwa naweza kusema tamaduni za enzi hizo zilifanana, ni mpaka kwa wazungu, waarabu, hata hapa kwetu tamaduni zilikuwa ni kuoa binti miaja 14 hadi 16.

Tulipotifautiana labda ni posa tu, wengine walitoa posa kabla binti hajazaliwa, wengine binti akiwa mdogo, wengine baada ya binti kumaliza balehe, Kwa upande wa Israel mabinti waliomaliza balehe walitolewa posa walibaki nyumbani walau kwa mwaka ili kupewa mafunzo ya ndoa na baada ya hapo wanahamia kwa mwanaume, ilikuwa ni nadra sana kukuta binti ana 15 hajaolewa.


Kwa wanaume suala la kuoa halikuwa kwa kubalehe pekee bali kuweza kujua namna ya kujitegemea, kumhudumia mkeo na watoto, ndio maana wengi walikuwa wanaoa wakiwa na miaka kuanzia 20 japo kwa watoto wa wafalme walioa mapema zaidi.
Achana na hekaya za abunuasi.
 
Back
Top Bottom