Leo nawaelimisha kwamba Mama yake Yesu aliolewa kihalali akiwa na maiaka 15, Yusufu alitenda dhambi gani iliyomchukiza Mwenyezi Mungu ?

Mimi na ugalatia wangu nashangazwa sana na wanaomuita Maria kuwa ni bikira wakati Yesu alikuwa na wadogoze ambao wengine wakawa Wanafunzi wake
Wadogoze au wakubwaze😊😊😊😊🚶
Sasa si alimzaa akiwa bikra mkuu. Tena bila mtwangio kumgusa! Hoja yako ingekuwa na mashiko kama kabla ya kumzaa Yesu alikuwa tayari na watoto, nilidhani!
Umejuaje bikra yake ni aina yake,mkuu unafurahisha sana
Alievunja ndoa ya yusuph na mke wake wa Kwanza Ni Nani? Maana biblia inasema kabla ya MARIAMU tayar alikua na MKE na wototo 6, ambao ndo Kaka zake na dada zake yesu.
Bikra kabla ya kuzaliwa Yesu.
NAOMBENI TUHUSIKE NA MAADA KUU MEZANI, HAYO MAMBO YA KUMZAA YESU, MIUJIZA, N.K. TUYAWEKE KANDO,

YUSUFU ALITENDA DHAMBI IPI KUMUOA MARIA ALIPOKUWA NA MIAKA 14 hadi 15 ? (HUU NDIO ULIKUWA UTARATIBU WA KUOA SI KWA WAISRAEL PEKEE BALI WAAFRIKA, WAARABU, N.K.)
 
Wacha picha ziongee. Tutapata kufikiri, Je Yusufu alikuwa na Umri gani wakati Yesu anazaliwa?

Kwa mujibu wa Imani ya Orthodox, hii ni picha ya yusufu akiwa na Yesu angali mtoto.



Yusufu akiwa na Yesu mdogo



Yusufu akiwa na yesu kazini kwenye Useremala



Yesu na mama yake wakimwangalia Yusufu (Je alikuwa mgonjwa?)




Yusufu akimfundisha Yesu uselemara


SWALI LA MSINGI JE YUSUFU ALIKUWA NA MIAKA MINGAPI WAKATI YESU ANAZALIWA?

Kwa mijibu wa Church Fathers alikuwa na miaka takriban 80.

Na maandiko mengine yanasema tayari alishakuwa na ndoa ya kwanza alipozaa watoto 6 akiwemo mmoja aitwaye James!

Source:
 
Achana na hekaya za abunuasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…