Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Hilo nishakujibu, we ndo unarudiarudia hilo swali, ni kama vile kuna majibu tayar unayo kichwan unataka niyaseme na hutaki kusikia majibu mengi, unataka majibu tuu yanayoendana na your preconceived stereotypes, mm sina hayo.This is religious balderdash, faith based hogwash full of a priori fallacies and circular logic.
For someone who professes to like physics, this is a letdown.
Yani ni kama vile umesema Mungu yupo, kwa sababu yupo.
Hujajenga hoja yabkimantiki, unajenga ushawishi wa kiimani. I am not interested in that.
The logic is so circular.
Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Toa jibu linalotatua contradiction hii.
Usiweke jibu ambalo linaonesha huwezi kutatua contradiction hii kama "God just let things happen". Hili ni jibu la kasisi mjinga asiyejua kumtetea Mungu wake, si jibu la mtu mwerevu anayejua mantiki na fizikia.
We both have circular logics, in our own different ways.
Just because I'm a physics enthusiast doesn't mean my answers have to be complicated or long, this is faith we are talking about here, its not physics, I don't need to give you weird explanations.