jipange hapo.ukitoka mwachie mtu akushikie nafasi.
nini tena ma wivu tu hayo
Hii siku sasa tuite ni nzuri kwa ama mbaya kwake Mamndenyi maana naona tangu jana mapema hili jina linakatiza kila eneo, naye nadhani hata kama leo ameingia humu nazani amengia kama geust, vinginevyo duh. Hongera dada naona wazee wanagongana kwa gear kubwa, maana hata waliojitoa jana sio kwamba hawapendi, la hasha mtu mzima amepima akoana duh hapa no acha nisepe nirudi nyumbani pa zamani.
cc kaka Mwita Maranya
mKUU Lyagwa yani we acha tu, umenikumbusha wimbo wa magwiji wa muziki wa dance nchini... nakupa talaka kwa shingo upande...

hivi mnataka mpewe vidonge gani ndiyo mtambue kuwa mie nimekufa nakujiozea kwa Mamndenyi ?shukuran pekee kwa mweto Mwita Maranya kwa kuniachia kijiti nami nikisongeshe mbele,
ifahamike kuwa mimi sio wa kwanza na sinto kuwa wa mwisho ila kwa mapenzi yake naweza nikapiga kambi ya kudumu,
copy kwa waharibifu woote Mr Rocky Vin Diesel na nduguze Arushaone na daddy Bishanga aliyepo kule murushaka hivyo napenda kudumisha chama cha chit-chat pia zidumu na milele fikra sahihi za mwenyekiti Baba V na mshauri wake mkuu Mama v
kwa mara ya pili leo natupa tena ndoana yangu kwa kipenzi Mamndenyi hodiiiiiiiiii:heh:i !!!