leo nawapa vidonge vyenu mkimeza mkitema mtajijuu!!

hivi mnataka mpewe vidonge gani ndiyo mtambue kuwa mie nimekufa nakujiozea kwa Mamndenyi ?shukuran pekee kwa mweto Mwita Maranya kwa kuniachia kijiti nami nikisongeshe mbele,

ifahamike kuwa mimi sio wa kwanza na sinto kuwa wa mwisho ila kwa mapenzi yake naweza nikapiga kambi ya kudumu,
copy kwa waharibifu woote Mr Rocky Vin Diesel na nduguze Arushaone na daddy Bishanga aliyepo kule murushaka hivyo napenda kudumisha chama cha chit-chat pia zidumu na milele fikra sahihi za mwenyekiti Baba V na mshauri wake mkuu Mama v

kwa mara ya pili leo natupa tena ndoana yangu kwa kipenzi Mamndenyi hodiiiiiiiiii:heh:i !!!

Kaka,nakuomba uchukue hela toka mfukoni kwako kisha ukanunue kinana moja ya baridi unywe,siku nitakayokuona nitailipia.....
 
Last edited by a moderator:

asante sana mkuu St. Paka Mweusilakini kwanini umeamua kufanya hivyo.nini kimekufurahisha ? hivi kile kilabu cha kangara kule vumilia bado kipo? nataka leo nitoke kihivyo hivyo!!
 
Last edited by a moderator:

hivi mnataka mpewe vidonge gani ndiyo mtambue kuwa mie nimekufa nakujiozea kwa Mamndenyi ?shukuran pekee kwa mweto Mwita Maranya kwa kuniachia kijiti nami nikisongeshe mbele,

ifahamike kuwa mimi sio wa kwanza na sinto kuwa wa mwisho ila kwa mapenzi yake naweza nikapiga kambi ya kudumu,
copy kwa waharibifu woote Mr Rocky Vin Diesel na nduguze Arushaone na daddy Bishanga aliyepo kule murushaka hivyo napenda kudumisha chama cha chit-chat pia zidumu na milele fikra sahihi za mwenyekiti Baba V na mshauri wake mkuu Mama v

kwa mara ya pili leo natupa tena ndoana yangu kwa kipenzi Mamndenyi hodiiiiiiiiii:heh:i !!!

Mamaaaaaaaa......... Ishakuwa kijiti cha relie lolest!?? Haya kazi kwako Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:

hivi mnataka mpewe vidonge gani ndiyo mtambue kuwa mie nimekufa nakujiozea kwa Mamndenyi ?shukuran pekee kwa mweto Mwita Maranya kwa kuniachia kijiti nami nikisongeshe mbele,

ifahamike kuwa mimi sio wa kwanza na sinto kuwa wa mwisho ila kwa mapenzi yake naweza nikapiga kambi ya kudumu,
copy kwa waharibifu woote Mr Rocky Vin Diesel na nduguze Arushaone na daddy Bishanga aliyepo kule murushaka hivyo napenda kudumisha chama cha chit-chat pia zidumu na milele fikra sahihi za mwenyekiti Baba V na mshauri wake mkuu Mama v

kwa mara ya pili leo natupa tena ndoana yangu kwa kipenzi Mamndenyi hodiiiiiiiiii:heh:i !!!

Slave unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
samahani nimejichanganya nilimaanisha Evelyn Salt mahabuba wangu,. Ila unaonaje nikiwa wako wa kufa na kuzikana?

hahahahahahaaa!!!!!! Eti kufa na kuzikana........! We mwambie tu ukweli kuwa awe wako wa kufunga ndoa na kuachana!!!!!
 
Last edited by a moderator:
kwa mara ya pili leo natupa tena ndoana yangu kwa kipenzi Mamndenyi hodiiiiiiiiii:heh:i !!![/QUOTE]

th_woman-crying1.jpg
 
Back
Top Bottom