Leo nawataja wauza madawa wote hapa JF

Lucas

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,457
Reaction score
1,111
nimesikia kelele nyingi ati tuwataje, leo nawamensheni wote hapa,
1. Bishanga huyu anauza madawa maeneo ya nyaishozi tegeta, ukifika pale utaona bango limeandikwa B PHARMACY
2. Erickb52 huyu anauza unga maeneo ya kijenge pale arusha, ukifika pale ulizia rombo shop utampata
3. charminglady yeye ndio basi tena huyu anauza madawa tena sana tu, ukifika mlango mmoja ana duka la madawa tena kubwa tu..

wengine ntarudi... list bado inaendelea
 
Last edited by a moderator:

Yaan mkuu asante sana kwa promo, yaan unajua nasamba madawa kanda ya ziwa yooote, kila duka la madawa unaloliona kanda ya ziwa jua wananunua madawa kwangu!!!

Hebu kuja huku nikupe zawadi ya kunitangaza!!!!!!!!
 
Kama kwenye list hii sipo nakata rufaa!

Halafu braza unajua wewe uko kwenye black list? tena uko pamoja na Filipo ile biashara yenu ya mikongoraa mnayofanya na Mr Rocky, tumeishtukia kumbe mnauza na unga pia!!! ( CC mshirika wako Erickb52) na tena inasemekana duka moja wapo umelificha kule matejoo!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…