tunawalia timing tu, siku likibuma mtatubeba
Lucas Kumbuka wewe ndiye ulinikabishi hiyo biashara nikushikie sasa nashangaa unaniumbua tena aisee lolnimesikia kelele nyingi ati tuwataje, leo nawamensheni wote hapa,
1. Bishanga huyu anauza madawa maeneo ya nyaishozi tegeta, ukifika pale utaona bango limeandikwa B PHARMACY
2. Erickb52 huyu anauza unga maeneo ya kijenge pale arusha, ukifika pale ulizia rombo shop utampata
3. charminglady yeye ndio basi tena huyu anauza madawa tena sana tu, ukifika mlango mmoja ana duka la madawa tena kubwa tu..
wengine ntarudi... list bado inaendelea
kidogo
ah ah ha ha haha dada yangu mbona unataka kunifanya nicheke kidogo!!!!!!!!!!!! halafu unajua hata wewe kabla ya kuokoka ulikwahi kufikiria kuuza unga au madawa?? vipi bado una huo mpango?
pole, laiti ungejua charminglady anakaa ****** na mie naishi Nyakato NHC, halafu Erickb52 ni kaka yangu kabisa na ukitaka naweza nikakutumia picha yangu mie na yeye kwenye PM, ila mpaka yey akubali.....
Lucas Kumbuka wewe ndiye ulinikabishi hiyo biashara nikushikie sasa nashangaa unaniumbua tena aisee lol
Kuanzia leo nakuachia uendelee mwenyewe aisee
sorry nani amekwambia mm nimeokoka samahani usimdhanie mtu kwa kudhani tu hapa cc ? pls nifute katika hiyo list yako ya kudhani, halafu mm ni mtaalamu wa kuchanganya huo unga na unga sembe na kuuza hivyo biashara ya sembe naifanya sana
Shukuru jina lako nimeli-with held... ntakutaja!!!
thubutu yako!!!!! Waulize wenzio akina Slave kilicho wakuta nilipotoka S.A.......... Chezea kigogo serikalini wewe!!!!!!!!!
Miss u. Hata mia siweki kuonyesha msisitizo/maandamano.
tatizo lao kubwa wanadhani na wala hawafanyi uchunguzi yakinifu kujua kuw kweli huyu mtu anafanya hiyo biashara ya sembe au la, mm nimeshamwambia kuwa nauza sembe haya atambe sasa
Wewe sio tu unauza bali unatumia sana tu.. sijawahi ona doctor asiyetumia madawa..
Wewe mbona nakujua sana tu kuwa ndo teja la unga namba moja mitaa ya kwenu huko...
ulinionea wapi nikitumia na nimeyauzia wapi???? Nitakumaindi ujuee!!!!!!
hata petro alimkana Yesu,
japo mwishoni aliomba msamaha.