Leo nawataja wauza madawa wote hapa JF

Asante sana Lucas,
Soko ni kubwa mno kiasi hata uwe na mzigo mkubwa kiasi gani unaisha kama kufumba na kufumbua
kwa hiyo niliona niwaachie wenye mitaji mikubwa, haaaaa
Kwanza pole kwa msiba mama, pili kwani wewe siku hizi umeacha kuuza unga pale kwako?
 
Last edited by a moderator:
Kulikoni Lucas umemtaja my mume Erickb52 kwenye mihadarati?!
Hahusiki tafadhali utakua umemfananisha
 
Last edited by a moderator:
unatafuta umaarufu kupitia ndugu zangu aliyekwambia kuwa charminglady na kaka yangu Erickb52 wauza unga ni nani
umewaona wapi umefanya utafiti upi na wamekuja kwako saa
ngapi kukuuzia? wewe hebu watoe katika hiyo list hapo juu
haraka sana kabla sijakuchukulia hatua kali za kinidhamu

Hivi unajua ni kosa la jinai kumtaja mtu kuwa anafanya kitu
fulani bila kufanya utafiti wako kama ni kweli au la
Katika ibara 52/B77 na kifungu cha 7 nanukuu " kinasema
ni kosa la jinai kumbambikizia kesi isiyomhusu mtu mhusika
kuwa amefanya bila kufanya uchunguzi yakinifu.
BASI TENGUA KAULI YAKO HARAKA KABLA HATUJAENDA BARAZANI
nimesikia kelele nyingi ati tuwataje, leo nawamensheni wote hapa,
1.


 
Last edited by a moderator:
charminglady nimemfungulia duka la dawa mwenyeweeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa kuna watu wamekimbilia kufungua huu uzima Kidogo wajikwae walidhani ni madawa yale a.k.a sembe nyeupe halafu walidhani mimi nimo hahahaaaaa hahahaaaaa...!
 
kidogo

ah ah ha ha haha dada yangu mbona unataka kunifanya nicheke kidogo!!!!!!!!!!!! halafu unajua hata wewe kabla ya kuokoka ulikwahi kufikiria kuuza unga au madawa?? vipi bado una huo mpango?
 

pole, laiti ungejua charminglady anakaa ****** na mie naishi Nyakato NHC, halafu Erickb52 ni kaka yangu kabisa na ukitaka naweza nikakutumia picha yangu mie na yeye kwenye PM, ila mpaka yey akubali.....
 
Last edited by a moderator:

cousin, hata mi nilisingiziwa na Slave pamoja na Baba V kuwa nauza hayo makitu, ila nashukuru huyu Lucas hajanitaja la sivyo angeibeba dunia!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…