Leo nawataja wauza madawa wote hapa JF

Lucas Kumbuka wewe ndiye ulinikabishi hiyo biashara nikushikie sasa nashangaa unaniumbua tena aisee lol
Kuanzia leo nakuachia uendelee mwenyewe aisee
 
Last edited by a moderator:
sorry nani amekwambia mm nimeokoka samahani usimdhanie mtu kwa kudhani tu hapa cc ? pls nifute katika hiyo list yako ya kudhani, halafu mm ni mtaalamu wa kuchanganya huo unga na unga sembe na kuuza hivyo biashara ya sembe naifanya sana
kidogo

ah ah ha ha haha dada yangu mbona unataka kunifanya nicheke kidogo!!!!!!!!!!!! halafu unajua hata wewe kabla ya kuokoka ulikwahi kufikiria kuuza unga au madawa?? vipi bado una huo mpango?
 
hebu nitumie hiyo picha maana nataka nione uongo wako hapa kwn bro wangu Erickb52 yeye hana neno na ananifahamu fika,
nipm basi
pole, laiti ungejua charminglady anakaa ****** na mie naishi Nyakato NHC, halafu Erickb52 ni kaka yangu kabisa na ukitaka naweza nikakutumia picha yangu mie na yeye kwenye PM, ila mpaka yey akubali.....
 
Last edited by a moderator:
tatizo lao kubwa wanadhani na wala hawafanyi uchunguzi yakinifu kujua kuw kweli huyu mtu anafanya hiyo biashara ya sembe au la, mm nimeshamwambia kuwa nauza sembe haya atambe sasa
cousin, hata mi nilisingiziwa na Slave pamoja na Baba V kuwa nauza hayo makitu, ila nashukuru huyu Lucas hajanitaja la sivyo angeibeba dunia!!!!!!!!
 
Lucas Kumbuka wewe ndiye ulinikabishi hiyo biashara nikushikie sasa nashangaa unaniumbua tena aisee lol
Kuanzia leo nakuachia uendelee mwenyewe aisee

hapana, mimi nilikuachia ile bishara ya mboga ya kwetu makete, wewe ukasema eti sijui mnatumia nini!!! kwetu mboga nzuri tuu tena hata mbunge wetu marehemu Tuntemeke aliwahi kuomba iliruhusiwe kabisa kulimwa kwa makete.... ila nasikia wewe siku hizi unaagiza kutoka malawi!!!!

mchicha wa malawi sio mzuri ati....
 
sorry nani amekwambia mm nimeokoka samahani usimdhanie mtu kwa kudhani tu hapa cc ? pls nifute katika hiyo list yako ya kudhani, halafu mm ni mtaalamu wa kuchanganya huo unga na unga sembe na kuuza hivyo biashara ya sembe naifanya sana

Ati????? umeukana wokovu mara hii?? uuuuwiiii ngoja nikamuite Bujibuji na Mamndenyi niwaambie waje wakuhubirie kwanza.... halafu hiyo ya kuchanganya si ndio hatari sana!!! kumbe ndio maana uko karibu sana na Bishanga?
 
Last edited by a moderator:
cousin, hata mi nilisingiziwa na Slave pamoja na Baba V kuwa nauza hayo makitu, ila nashukuru huyu Lucas hajanitaja la sivyo angeibeba dunia!!!!!!!!

Wewe sio tu unauza bali unatumia sana tu.. sijawahi ona doctor asiyetumia madawa..
 
Last edited by a moderator:
tatizo lao kubwa wanadhani na wala hawafanyi uchunguzi yakinifu kujua kuw kweli huyu mtu anafanya hiyo biashara ya sembe au la, mm nimeshamwambia kuwa nauza sembe haya atambe sasa

Wewe mbona nakujua sana tu kuwa ndo teja la unga namba moja mitaa ya kwenu huko...
 
ulikuwa hujui kuwa mm nashika chat ya billboard kwa ulaji na uuzaji wa sembe tena haina tofauti nasembe ya AZAM
Wewe mbona nakujua sana tu kuwa ndo teja la unga namba moja mitaa ya kwenu huko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…