Leo nawataja wauza madawa wote hapa JF

lazima niwe karibu na Bishanga unataka niwe karibu na nani wewe? halafu usinikomalie wakati baba yako nilimuuzia sembe original bila kumix kitu, nenda kamwambie pale madhabahuni anatumia nini wakati akiparoko watu
Ati????? umeukana wokovu mara hii?? uuuuwiiii ngoja nikamuite Bujibuji na Mamndenyi niwaambie waje wakuhubirie kwanza.... halafu hiyo ya kuchanganya si ndio hatari sana!!! kumbe ndio maana uko karibu sana na Bishanga?
 
Last edited by a moderator:
hata petro alimkana Yesu,
japo mwishoni aliomba msamaha.

ngoja nimuombee kwa kunena kwa lugha...

shakalabosinda lyakandalakalobosi sindoka lya mba ndosi kantambala nda ka la binda koroboshandalakala ya basi nda lya ngwama nkasi olikondola si ndo kanda lya mbasi....

nakunywa maji nitarudi kuwaombea Lady doctor, ladyfurahia, Slave, manoah na saplaya wao Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Hhahahahahahahahaha haaaaaaaaaa usinichekeze binamu jamani wacha waendelee kujipandisha na kujishusha presha zao
cousin, hawa watu watajipa presha wenyewe kwa kutufuatilia, wakati wenzie twala bata
 
nadhani sasa unaanza kuchizika, hebu nimwite doctor wa kisaikolojia akupime akili zako Lady doctor njoo huku kuna mtu ameshaanza kupatwa na mawengewenge ya sembe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…