Leo nawataka wauza/wavaa tisheti kali tu

Leo nawataka wauza/wavaa tisheti kali tu

Of course ni katangazo fulani hv amaizing sana ila kwa kuwa we mwanetu sana na daima unapenda tupendeze basi hatuna budi zaidi ya kwenda kuchukua pamba hapo kwa mwanao
Ninakuza network, ninakuwa na wana jf.. nahitaji zaidi.. sooner nitaanza kuuza pochi za nos wangu pale kawe ukwamani. Mniunge mkono wazee sijaomba hela bila kazi wala sijawasumbua kunipa kazi. Nimejiongeza ndege, nikupe jinzi gani hapo Kilwa?
 
IMG-20241004-WA0166.jpg
Kalaga baho nahitaji jinzi 2 mkuu, nicheki inbox uniletee leo mimi naishi Makumbusho. Nicheki inbox
IMG-20241004-WA0162.jpg
 
Hizi je?[ATTACHView attachment 3131981View attachment 3131983=full]3131982[/ATTACH]

Hizi ni chapa ya unkut! Ila kuna jamaa wanaitwa YLB store wapo Raha na congo chini ya jengonlinaitwa Raha redtaurant mturuki flani hiv

Hapo pia kuna wahuni kibao wanauza hizi. Kuna mchizi anaitwa sejo collection
View attachment 3131986View attachment 3131987View attachment 3131988View attachment 3131989View attachment 3131990View attachment 3131991View attachment 3131992
Hizo pullover n [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom