Leo nawataka wauza/wavaa tisheti kali tu

Leo nawataka wauza/wavaa tisheti kali tu

Sikupi chimbo, nakupa maono! Nakupa code! Nakupa madini

Kama hutaki bas mzee usinichoshe, tusichoshane..

Kuna watu wanavaq brand kali sana wanapenda kung'aa. Leo natak nizingumzie code ya tisheti kali zinaitwa "Unkut" original, sio grade 2 za elf 9. Hizi unkut zimesimama, grade 1 mzee

Unalijua jengo linaitwa Miami? Mchikichi na Congo? Hapo ulizia mwamba mmoja anaitwa Mkombozi stoo. Chukua kazi kali, vaa katambe

Kalaga bahoView attachment 3131954View attachment 3131955View attachment 3131956View attachment 3131957View attachment 3131959View attachment 3131960
[emoji91]
 
Kuna mwana jf alikuwa anataka cargo pants
IMG-20241022-WA0298.jpg
IMG-20241022-WA0239.jpg
 
Back
Top Bottom