Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Jf Nifah ni zaidi ya uijuavyoHuhuuuuuuu mambo yamenoga si mchezo.
Mie niko na juice yangu ya ukwaju hapa nafuatilia.
Raaaaaha sana.
Ila JF hii ina mambo?
Mhhhhhhhhh
cc Charity Diva Beyonce DaJane brenda18 Dinazarde
Cousin nlisahau kukustua huku kuna ubuyu jaman yaan nisamehe bureeJf Nifah ni zaidi ya uijuavyo
Ndio ukubwa mkuu....
Wakati mwingine tunapaswa kuyapokea magumu ili kua fundisho kwa wengine
he he hee kama umejua mkuu...kitabu kimebana mkuu..[emoji1]
Valentina...Hata hivyo jamaa anachukua 8m kwa Mwezi,Na "nafasi" imejaa....nime quote tuu kwake.Maskini new girl kaponzwa na X
ngoja niunganshe hzo dot labda kuna kitu ntaambulia.... ..... ........ ...........
Wazee wa Ku connect dontiAiseee kaka pole.sio yule ze ticha kwel?? Hahaa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji328] [emoji328]Hahaha nipatie ile emoji kanakimbia kwangu kama sikaoni
Hahaha Jitahidi labda utaambulia kitungoja niunganshe hzo dot labda kuna kitu ntaambulia.
Pole kiongozi ila JF kuna ma pretenders wengi sana hizi ID zinaficha mengi nakumbuka 2012 niliopoa kibibi humu ndani jinsi kilivyokuwa kinanata kama under 20 wengine wake za watu ila ukiwa nae chemba anakwambia am single kivumbi kinakuja siku umetulia zako unakuta kuna namba ngeni inakupigia simu inakuchimba mkwara kuwa unachukua mali yake...sema mwisho wa siku JF idumu mana tumepata na wachumba humu na marafiki wa kudumu.Ndio ukubwa mkuu....
Wakati mwingine tunapaswa kuyapokea magumu ili kua fundisho kwa wengine
hivi weye upo!!mhh hizi sehemu hukosekaniii aiseee..itabidi unielezee vizuriii maana nna muda sijaingia humuuuHii ndio raha ya jf
Hahaahaaaa....Hili la kwako ni fundisho kubwa, tumeongea ya kuongea hapa lkn kila mtu amechukua pointi mbili tatu kutokana na mkasa wako, pole sana mkuu.
Hata hivyo ili tujifunze zaidi hivi wewe una umri gani na huyo dada ana umri gani?? Pia mlikutania mazingira gani maana inaweza kuwa ni aina ya wanawake fulani itusaidie kuwaepuka
Mweeeh kazi ipo inaonyesha una roho nzuri aisee naye hana shukrani yani kusomeshewa watoto hajiheshimu wala kuridhika hafu bado muongo. Huyu hafai hata huyo new girl friend ni majibu tu haoYule wa tatu sikuwahi kuambiwa pale mwanzo, na nilicho kifanya kwa kukubali wale wawili ni kwakua nami nina wawili.
So nilitarajia nice and good couple of 2×2
Hahaha wewe si umenisusa bwana.toka ununue verosa umepanda bei.mie nipo kijijini huku nalima ufutahivi weye upo!!mhh hizi sehemu hukosekaniii aiseee..itabidi unielezee vizuriii maana nna muda sijaingia humuuu