Leo nayatoa ya moyoni

Leo nayatoa ya moyoni

Ndio ukubwa mkuu....
Wakati mwingine tunapaswa kuyapokea magumu ili kua fundisho kwa wengine

Hili la kwako ni fundisho kubwa, tumeongea ya kuongea hapa lkn kila mtu amechukua pointi mbili tatu kutokana na mkasa wako, pole sana mkuu.

Hata hivyo ili tujifunze zaidi hivi wewe una umri gani na huyo dada ana umri gani?? Pia mlikutania mazingira gani maana inaweza kuwa ni aina ya wanawake fulani itusaidie kuwaepuka
 
Hahaha nipatie ile emoji kanakimbia kwangu kama sikaoni
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji328] [emoji328]
 
Hii ndio raha ya jf.jf inatufunza, burudisha na kuelimisha.heko kwa jf founder.polee sana mwanaume mwenzangu.wanawake wasikie tu.
Naomba na umalizie kwa sasa upo single.usifunge pm yako
 
Ndio ukubwa mkuu....
Wakati mwingine tunapaswa kuyapokea magumu ili kua fundisho kwa wengine
Pole kiongozi ila JF kuna ma pretenders wengi sana hizi ID zinaficha mengi nakumbuka 2012 niliopoa kibibi humu ndani jinsi kilivyokuwa kinanata kama under 20 wengine wake za watu ila ukiwa nae chemba anakwambia am single kivumbi kinakuja siku umetulia zako unakuta kuna namba ngeni inakupigia simu inakuchimba mkwara kuwa unachukua mali yake...sema mwisho wa siku JF idumu mana tumepata na wachumba humu na marafiki wa kudumu.
 
Hili la kwako ni fundisho kubwa, tumeongea ya kuongea hapa lkn kila mtu amechukua pointi mbili tatu kutokana na mkasa wako, pole sana mkuu.

Hata hivyo ili tujifunze zaidi hivi wewe una umri gani na huyo dada ana umri gani?? Pia mlikutania mazingira gani maana inaweza kuwa ni aina ya wanawake fulani itusaidie kuwaepuka
Hahaahaaaa....
Naomba nikujibu kadri nitakavyo weza.
-X ni masters holder na anajob yake poa na mjengo wake wa haja.
-Mimi nina degree holder na nina maisha ya kawaida.
-NG ni PhD holder na anamaisha yake poa.
Mmoja nilikutana nae kwenye ndege, mwingine nilikutana nae kanisani.
Wote tuna umri wa 30 to 35.

Bila shaka nimejaribu mkuu[emoji39]
 
Yule wa tatu sikuwahi kuambiwa pale mwanzo, na nilicho kifanya kwa kukubali wale wawili ni kwakua nami nina wawili.
So nilitarajia nice and good couple of 2×2
Mweeeh kazi ipo inaonyesha una roho nzuri aisee naye hana shukrani yani kusomeshewa watoto hajiheshimu wala kuridhika hafu bado muongo. Huyu hafai hata huyo new girl friend ni majibu tu hao
 
Back
Top Bottom