Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu....Umeona eeh, kama hii stori ni ya kweli basi huyu mwanamke ana akili kulishinda hili lijamaa, na ndio maana analilia mapene waziwazi tena kijinga.
You may be right lakini hebu tuwe wa kweli jamani. Ni wanawake wanawake wangapi uliwahi kuwatumia hela wakakujibu hivyo ulivyoelezea?
jamaa hapana kayaanika hadharani mambo ya faragha tena chumbani usiku kimyakimyaSasa msaidie jamaa ujumbe ufike kwa huyo bibie basi
Umenena jambo mkuu.Kiongozi Ushimen, ulikuwa unawasomesha watoto wa X wako?
Kwa nini ulipenda kuwaleta girls wako jf baada ya kuwa wapenzi, huoni kuwa uliwaleta kwenye midomo ya simba?
Pole sana, best way kufurahia hii platform ni kujiweka mbali na pm. Nilijifunza kitu juzi hapa, don't trust strangers, waweza kushangaa simple conversations baina yako na mwenzako zimekuwa "talk of the forum" bila wewe kujua. Kuna viazi humu balaa...
Sasa fanya basi unipe kile kitu kabla sijabadili mawazo,jamaa hapana kayaanika hadharani mambo ya faragha tena chumbani usiku kimyakimya
Safi sana. Sasa huyo kila mwanamke anayempata akituma hela anajibiwa hivyo? Kwangu naona ni uongo..Huyu jamaa nae kazidisha chumvi, hata kama hana shukrani duuu!!
Leo asbh nimemtumia mama yangu msimbazi tu mmoja kutokana na mambo yangu hayakuwa mazuri lkn mama kanishukuru.hadi nikashangaa.
Nilishaachaga mchezo mchafu wa kutumatuma.pesa kwa wanawake zaidi ya mama yangu.
hiyo parcel taratibu tuu utasema ulikua unampelekea nani kama ni kwangu ingefika, Hahaha unaniangalia tuu easy easy kule sirudi tena na tena...Mmh how come parcel haijafika!! mmh figisu figisu hadi ufilipinoni khaaa. We jikute tu unanitia wivu, utakuta nishasepa mbele. Nakuangalia tu afu nakuonea huruma teh[emoji23] [emoji23]
Huku ushirombo mkuu....Kwahiyo mkuu siku hizi hubebi box? Au @ushiboy hubebi box huko uliko? mbona Nyani Ngabu anakukana??
Gashi nkoyi Nyani Ngabu utabhamanile abhabhushilombo angu?
umesema?!Sasa fanya basi unipe kile kitu kabla sijabadili mawazo,
Hahaha kile nakingoja kwako kwanza halafu ujue muda unazidi kwendaa Dooh!!Sasa fanya basi unipe kile kitu kabla sijabadili mawazo,
Nope ntafatilia kesho nijue imekuwaje huo mzigo. Me nakuangalia tu unavyocheka kitalebani, unanijua vizuri mnyaki mimi tehhiyo parcel taratibu tuu utasema ulikua unampelekea nani kama ni kwangu ingefika, Hahaha unaniangalia tuu easy easy kule sirudi tena na tena...