angelita
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 3,017
- 2,432
Karibu shogaa umbeyani, umeandaa popcorn zakutosha mana umechelewa kidogo.Nmekumisije jaman
Nimekumiss pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu shogaa umbeyani, umeandaa popcorn zakutosha mana umechelewa kidogo.Nmekumisije jaman
Jaribu kusoma uzi hadi mwisho kabla haujaandika chochote aiseeeeHili huws nalisema kila siku mwanaume kama una akili timamu usijione jabali kwa kuhonga wanawake, ona sasa unavyolialia??
Si mnasema mchape kazi ili mpate pesa za kuwapa wanawake?? Kinachokuliza si mapenzi ni pesa ulizohonga we mbulula
Bado ndio nipo ngwe ya mwisho diaooh pole my, bado shule kipenzi?
Hahaaa nmeenda za kutosha yaan wee zikikuishia tu nistue nikupunguzie zangu maana naona jf si kwakukaa mbali nakoKaribu shogaa umbeyani, umeandaa popcorn zakutosha mana umechelewa kidogo.
Nimekumiss pia.
Nashukuru!Kutaja Jina si muimu ila stori inapotoka inakuwa na lengo la kuwafunza wengine juu ya yale yanayotokea duniani....
Mcheki Pythagoras atakuelewesha ni kitu simple tuuHujaeleweka vizuri mkuu. Sasa tusipozaa inakuwaje? Tumeumbwa tuzae..na wewe umezaliwa kutoka kwa mwanamke. Sentensi yako ni tata...imeleta maana tofauti kwangu.
Mkuu Ushimen katika hii battle i will stand on the side of your x! kakuchakaza kijinga sana... kwa lipi hasa mtu hujazaa nae unam cancel still umsomeshee watoto wa mwanaumme mwenzio?! ili iweje sasa? we HakiElimu ama vepe??
Hahaaha mkuu bado natafakari hili tukio, ntatoa msimamo wangu badae juu ya hili.Mcheki Pythagoras atakuelewesha ni kitu simple tuu
Najua utanitetea ndio. Vinginevyo nisingethubutuunataka ugomvi na wanaume wa Dar wewe au kwa kua unajua nitakutetea?
Ushimen si yuko huko ng'ambo na we si ndo kijeba mkuu!
ong'wise ginehe ukhunigwishwaga onywano bhe!!
Mapenzi yanaweza sababisha ukafanya chochote kile na watu wakakushangaa. Mi namuelewaUmeona eeh, kama hii stori ni ya kweli basi huyu mwanamke ana akili kulishinda hili lijamaa, na ndio maana analilia mapene waziwazi tena kijinga.
Usijali ma, Mungu ni mwema. .utamaliza tu salamaBado ndio nipo ngwe ya mwisho dia
You may be right lakini hebu tuwe wa kweli jamani. Ni wanawake wanawake wangapi uliwahi kuwatumia hela wakakujibu hivyo ulivyoelezea?Fanya jaribio dogo tu leo.....weka elf 30 kwenye simu mpesa.....kisha elf 5 mtumie mama yako....then elf 25 mtumie demu (hawara/mpenz) wako..kisha subiri respond.
Mama......,utasikia asante sana mwanangu nilikuwa sina sukari hii itanitosha kupata kilooja, mungu akubariki sana.
Demu lako.......na ww hii ndio hela gani? Hela yenyewe hata kununua dawa ya kuoshea nywele haitoshi, mm mwanamke kunitunza ni gharama, ubahili wako mm naona utanishinda.
Hebu kma una hela tumia mzazi wako hasa mama....achana na mikei pasua kichwa haina shukrani.....R.I. P MY MOM, NAJUA NILIJITAHID KUKUNJUA MKONO WANGU KWAKO. SORRY KM NILIKUKWAZA..... I LOVE YOU MOM