Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Duh!!..... Kumbe huko PM kuna mengi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Loooooh!!..... Leo nimepotea njia!..... Nimetouch untouchable area!(Umbea)..... i promise i will never touch untouchable again!Naomba nikupuuze.
Asante.
Aiseee kaka pole.sio yule ze ticha kwel?? HahaaOk....
Baada ya X kufanya yake wakati mimi sijui, ghafla nilianza kupata PM kadhaa kutoka kwa wadau humu jf wakiniuliza kulikoni.
Wakati huo pia nilipata msukosuko mkubwa na huyu mdada mpya huku akinitumia shutuma nyingi sana.
Hapo nilibaki kati na nikaamua kunyamaza na kukata mawasiliano kwa new girl na X.
Kwambaali nikaanza kushuhudia minyukano ya wawili hawa humu jf, new girl akiwa mzuri kwa hoja na X akiwa mtu wa kupopoa maneno ya hovyo.
Hapo nilijiweka pembeni zaidi ya sana huku nikiwa tazama kwambaaaali... na nikiendelea kuwapuuza kwasababu wote walikua wakishutumiana kupitia kwangu.
New girl aliamua kukata mawasiliano na mimi kabisa, huku X akizidi kupigana kufa na kupona kwamba mahusiano yake yamevunjwa na NG, hata nilipokua nikimueleza wazi kwamba simpendi tena jibulake lilikua ni kwamba kwakua nipo na NG.
Mwisho nae niliamua kupuuza.
Baada ya muda flani kupita huku nikishudia X akim quote NG humu jf kwa crushed comments... Ghafla nilipata msg kutoka kwa NG... huku akinishutumu kwa mambo mengi mabaya ambayo kwa hakika siku yafanya na sikuhusika.
Kumbe X alitengeneza picha chafu za NG kwa kushirikiana na X boy wa huyu NG. Na sijui waliweza pata mawasiliano wapi hata wakaanza kuwasiliana, kwakweli yule jamaa x boy wa NG wangu alimueleza X wangu mambo mengi sana ambayo ni past za NG.
Amahakika kweli kua uyaone.
Lengo lilikua ni kumchafua na hapo X Boy wa NG wangu pia akapata kushawishika kwamba mimi ndie nilie sababisha waka achana
Kumbe wa Dubai, nikadhani ni wa kule tulikokukimbia...... Darwanaume wa ........
Dubai
Mkuu wewe kubali tu Ulikuwa BUZIDuh,hawa wachumba hawa ukiwa mwepesi unaweza kunywa dawa ya kahawa.Pole sana Ushimen
Asante kwa kunielewa mkuu.Mmh umbea utaniua sasa khaaa. Me nilivyomuelewa ni kwamba anataka kuweka mambo clear, especially kwa baby wake mpya. Coz ni kama figisu figisu za huyo ex zinaweka huu uhusiano wake mpya matatani + baby wake mpya kuchafuliwa humu ndani( khaa bye mpendwa, ntakuja kusutwa mama mtu mzima hivi haipendezi, utadhani Nilikuwepo sasa mmh)
unataka ugomvi na wanaume wa Dar wewe au kwa kua unajua nitakutetea?Kumbe wa Dubai, nikadhani ni wa kule tulikokukimbia...... Dar
pole bestie..mimi haya mambo utanielezea kule chemba hapa sielewi kitu..Humu kuna raha na karaha aiseeee....