Leo nayatoa ya moyoni

Leo nayatoa ya moyoni

Umeona eeh, kama hii stori ni ya kweli basi huyu mwanamke ana akili kulishinda hili lijamaa, na ndio maana analilia mapene waziwazi tena kijinga.
Mkuu....
Sijajua kulilia cash...
Nimekuja kwa lingine kabisaaa
Sema niliamua kuanzia sinema mwanzo wa picha ili wagumu kuelewa kama wewe waweze kunielewa
 
You may be right lakini hebu tuwe wa kweli jamani. Ni wanawake wanawake wangapi uliwahi kuwatumia hela wakakujibu hivyo ulivyoelezea?

Huyu jamaa nae kazidisha chumvi, hata kama hana shukrani duuu!!

Leo asbh nimemtumia mama yangu msimbazi tu mmoja kutokana na mambo yangu hayakuwa mazuri lkn mama kanishukuru.hadi nikashangaa.
Nilishaachaga mchezo mchafu wa kutumatuma.pesa kwa wanawake zaidi ya mama yangu.
 
Sawa mkuu hizi ni tafakuri zetu tu

E="Ushimen, post: 15848698, member: 107971"]Mkuu....
Sijajua kulilia cash...
Nimekuja kwa lingine kabisaaa
Sema niliamua kuanzia sinema mwanzo wa picha ili wagumu kuelewa kama wewe waweze kunielewa[/QUOTE]
 
Kiongozi Ushimen, ulikuwa unawasomesha watoto wa X wako?
Kwa nini ulipenda kuwaleta girls wako jf baada ya kuwa wapenzi, huoni kuwa uliwaleta kwenye midomo ya simba?

Pole sana, best way kufurahia hii platform ni kujiweka mbali na pm. Nilijifunza kitu juzi hapa, don't trust strangers, waweza kushangaa simple conversations baina yako na mwenzako zimekuwa "talk of the forum" bila wewe kujua. Kuna viazi humu balaa...
Umenena jambo mkuu.
Nimejifunza kitu kutoka kwako
 
Huyu jamaa nae kazidisha chumvi, hata kama hana shukrani duuu!!

Leo asbh nimemtumia mama yangu msimbazi tu mmoja kutokana na mambo yangu hayakuwa mazuri lkn mama kanishukuru.hadi nikashangaa.
Nilishaachaga mchezo mchafu wa kutumatuma.pesa kwa wanawake zaidi ya mama yangu.
Safi sana. Sasa huyo kila mwanamke anayempata akituma hela anajibiwa hivyo? Kwangu naona ni uongo..
 
Mmh how come parcel haijafika!! mmh figisu figisu hadi ufilipinoni khaaa. We jikute tu unanitia wivu, utakuta nishasepa mbele. Nakuangalia tu afu nakuonea huruma teh[emoji23] [emoji23]
hiyo parcel taratibu tuu utasema ulikua unampelekea nani kama ni kwangu ingefika, Hahaha unaniangalia tuu easy easy kule sirudi tena na tena...
 
hiyo parcel taratibu tuu utasema ulikua unampelekea nani kama ni kwangu ingefika, Hahaha unaniangalia tuu easy easy kule sirudi tena na tena...
Nope ntafatilia kesho nijue imekuwaje huo mzigo. Me nakuangalia tu unavyocheka kitalebani, unanijua vizuri mnyaki mimi teh
 
Back
Top Bottom