Leo nayatoa ya moyoni

Hongera kwa kupata mchumba humu

Msitusahau kwenye harusi yenu
 
Khaa kuna viazi kumbe..sweet au irish potatoes[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu Ushimen katika hii battle i will stand on the side of your x! kakuchakaza kijinga sana... kwa lipi hasa mtu hujazaa nae unam cancel still umsomeshee watoto wa mwanaumme mwenzio?! ili iweje sasa? we HakiElimu ama vepe??
Au ndo wale wanaume wa rombo wa kusaidiwa na wa Kenya nn?
 
Huu uzi leo ndio dinner yangu,sibanduki hapa hata kwa katapila.
Dah,nina hamu iliyotukuka ya kuona mwisho wake.
Huhuuuuuu JF tamu sana aisee.
nifah muhusika anaanza na k.... Mwisho wa story umalizie jina. Ahaaaaaa huu ubuyu mtamu!
 
hivi ni njia gani hawa watu hutumia kupata wachumba,?........sielewi!..
 
Acha tu rafiki nilijionea mwenyewe sema na mimi ubishi wangu mana alikuwa akinambia utauweza mziki wangu ila nikawa najua ni changamsha Genge labda anayaweza sana kumbe anaongelea umri...
Pole sana mkuu huku kuna wabibi na wababu hata mkikutana ka mwapendana hamna shida mkuu
 
Hivi ....
Kama unapata mshahara wa 8m, then ukawa na mpenzi wako na kisha ukaamua kumlipia ada mtoto wa mpenzi wako kuna ubaya?
kwa hili tuu bas pm zitajaa maana inaoneka baadhi ya wanawake wenzangu ni mama huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…