charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 5,992
ha ha ha jamaa kanikataza nisiingie kule...kasema akinikuta kule atanipa talaka tatu!!!Hahahaha endelea kuniombea usafiri wangu unaujuaaa.ila nimekumis kuleee aisee mwambie jamaa akuachiee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha jamaa kanikataza nisiingie kule...kasema akinikuta kule atanipa talaka tatu!!!Hahahaha endelea kuniombea usafiri wangu unaujuaaa.ila nimekumis kuleee aisee mwambie jamaa akuachiee
kwanza kua kwa sasa nipe babu yako hope hayupo jf.Nakuzimia kinoma noma ww hujui tu
Hongera kwa kupata mchumba humuPole kiongozi ila JF kuna ma pretenders wengi sana hizi ID zinaficha mengi nakumbuka 2012 niliopoa kibibi humu ndani jinsi kilivyokuwa kinanata kama under 20 wengine wake za watu ila ukiwa nae chemba anakwambia am single kivumbi kinakuja siku umetulia zako unakuta kuna namba ngeni inakupigia simu inakuchimba mkwara kuwa unachukua mali yake...sema mwisho wa siku JF idumu mana tumepata na wachumba humu na marafiki wa kudumu.
nani huyo vale?Teh nimeona...
Ngoja namie kesho nitoe ya moyoni. Kuna mtu nammaind humu yani
mm mgeni humu? Acha utani dogoWe labda uwe mgeni humu mbona ungeshambwato muda tu shukuru mabazazi wamestaafu na si wengine tumeachana mambo hzo..
We usicheze mbali kesho ntamwaga yotenani huyo vale?
Khaa kuna viazi kumbe..sweet au irish potatoes[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kiongozi Ushimen, ulikuwa unawasomesha watoto wa X wako?
Kwa nini ulipenda kuwaleta girls wako jf baada ya kuwa wapenzi, huoni kuwa uliwaleta kwenye midomo ya simba?
Pole sana, best way kufurahia hii platform ni kujiweka mbali na pm. Nilijifunza kitu juzi hapa, don't trust strangers, waweza kushangaa simple conversations baina yako na mwenzako zimekuwa "talk of the forum" bila wewe kujua. Kuna viazi humu balaa...
Au ndo wale wanaume wa rombo wa kusaidiwa na wa Kenya nn?Mkuu Ushimen katika hii battle i will stand on the side of your x! kakuchakaza kijinga sana... kwa lipi hasa mtu hujazaa nae unam cancel still umsomeshee watoto wa mwanaumme mwenzio?! ili iweje sasa? we HakiElimu ama vepe??
Basi net inazingua tu, ila hiyo yako ni tofauti na ya kwanguHii app yangu huku inaonyesha avatar yangu kwako. Lakini nikiview profile yako inakuja pic nyingine
sawa....isiwe Mimi tuWe usicheze mbali kesho ntamwaga yote
how did u survive kutmbwa?mm mgeni humu? Acha utani dogo
nifah muhusika anaanza na k.... Mwisho wa story umalizie jina. Ahaaaaaa huu ubuyu mtamu!Huu uzi leo ndio dinner yangu,sibanduki hapa hata kwa katapila.
Dah,nina hamu iliyotukuka ya kuona mwisho wake.
Huhuuuuuu JF tamu sana aisee.
muulize ushihivi ni njia gani hawa watu hutumia kupata wachumba,?........sielewi!..
Haya mwenyeji..ila usiniite dogomm mgeni humu? Acha utani dogo
Inawezekana kabisaBasi mtakuwa mapacha
Yeah....
Niliamua nikae pembeni kupisha upepo mkuu
Pole sana mkuu huku kuna wabibi na wababu hata mkikutana ka mwapendana hamna shida mkuuAcha tu rafiki nilijionea mwenyewe sema na mimi ubishi wangu mana alikuwa akinambia utauweza mziki wangu ila nikawa najua ni changamsha Genge labda anayaweza sana kumbe anaongelea umri...
kwa hili tuu bas pm zitajaa maana inaoneka baadhi ya wanawake wenzangu ni mama huruma.Hivi ....
Kama unapata mshahara wa 8m, then ukawa na mpenzi wako na kisha ukaamua kumlipia ada mtoto wa mpenzi wako kuna ubaya?