Ni mapenzi tu, hujui alichokuwa akifanyiwa, alimpenda kwa dhati na niwazi bidada alimdanganya kuwa baba wa mtoto kawatekeleza. lolMkuu Ushimen katika hii battle i will stand on the side of your x! kakuchakaza kijinga sana... kwa lipi hasa mtu hujazaa nae unam cancel still umsomeshee watoto wa mwanaumme mwenzio?! ili iweje sasa? we HakiElimu ama vepe??
Najaribu kuangalia unavyo jitahidi kufungua macho walau uweze waona ID zao kwenye maandishi aiseeee....[emoji1] [emoji1]
Hahaha kumbe na wao wapo hivi eehHa ha ha ah huyu ni Mwanaume wa Marekani naona lol.
Hapo nikishindwa kujiongeza najitukana kwa kingereza.....i lav me!!!Tena hatari sio kidogo aiseeee.....
Ngoja kwanza nijifikirie, kama vipi nitawataja kwa I'd zao kwenye herufi 1 ya mwanzo na 2 za mwisho
Naomba nikupuuze kulikotukuka.Kumbe ulikuwa mkwala tu kuwa ukitaka hata hapakuchi utakuwa umeshamfahamu...
Najaribu kuangalia unavyo jitahidi kufungua macho walau uweze waona ID zao kwenye maandishi aiseeee....[emoji1] [emoji1]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Anapitapita hapa jamvini aiseeee...
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaahaaaa.....Mie naomba tu uni P.M. Huyo X walau tu nimjue ha ha ha ha lol...aise pole sana.
Hahaha kumbe na wao wapo hivi eeh
Hahaahaaaa.....
Bado ndio kwanza sinema imeanza maana ninamsubiria mtu flani akuje hapa wakati bado nimetunza akiba ya maneno...[emoji6]
Nami ngoja nikupuuze kwa kiwango cha phd alaaah!!Naomba nikupuuze kulikotukuka.
Niwafahamu,nisiwafahamu.....
Ulitaka nije niwaanike hapa au nikuambie?
Kwa mtonyo gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe watamu kama viazi mbatata[emoji125] [emoji125][emoji12] [emoji12] viazi mbatata mke wangu wa zamani...
Napenda unavyoandika! Unanihamasisha!Sasa si ushaiweka humu...umejitangazaa mwenyewe,umejilizalizaaa hahahaa. Na bado, stress zako peleka baharini babu weeeee....
Heshima kwako ibra87.Hii picha ilikuwa ngumu pia ilinipotezea muda wangu sana katika kuuchimba ukweli wa pande zote mbili... nilitumiwa mpaka cheti cha ndoa cha mlalamikaji akiwa ameolewa na mwanaume mwingine. sikutaka kumhukumu mtu kwa kuwa naijua maana ya haki ya msingi ya mtuhumiwa na kwa kuwa mtuhumiwa alikuwa Rafiki Yangu nikamuhoji katika kuupata ukweli ni upi.
ni mahojiano yalioambatana na hasira, malalamiko, lakini mwisho wa siku nilimuelewa na kumwambia kile ambacho anatakiwa kufanya. lakini cha ajabu hata mimi rafiki yake akanichukia na hata pale nilipokuwa nikimtania alikuwa tofauti na mimi. Upande wa mlalamikaji nae alinipa vitu kibao ambavyo vilinithibitishia kuwa kuwa mlalamikaji alikuwa na haki. nilitumiwa mpaka mambo ambayo hayafai lakini mwisho wa siku nikabaki nimetulia kuangalia game na mnyukano. Kila siku upande wa mlalamikaji ulikuwa ukija na Ushahidi mzito lakini kile nilichokiongea na@USHIMEN bado kilikuwa ndio msimamo wangu. Licha ya mlalamikiwa kunichukia lakini bado nilimuona ana haki ingawa si kwa asilimia mia moja na bado nilikuwa nikimpenda kama dada. Hatimaye Majuzi nadhani amelitambua na ameendelea kuwa Dada Rafiki. Mengine yataendelea kuwa siri katika maisha Yangu.
TUKUBALIANE NA UKWELI NA TUANZE MOJA KATIKA HILI. HONGERA USHMEN KWA KUONGEA UKWELI.
MAKAPUKU
for
life
Hii picha ilikuwa ngumu pia ilinipotezea muda wangu sana katika kuuchimba ukweli wa pande zote mbili... nilitumiwa mpaka cheti cha ndoa cha mlalamikaji akiwa ameolewa na mwanaume mwingine. sikutaka kumhukumu mtu kwa kuwa naijua maana ya haki ya msingi ya mtuhumiwa na kwa kuwa mtuhumiwa alikuwa Rafiki Yangu nikamuhoji katika kuupata ukweli ni upi.