Leo nayatoa ya moyoni

Nifah hili suala lilikuwa gumu na bado ni gumu tena sana... Hiii vita inapiganwa kwa mbinu na kila aina ya SILAHA tusubiri part 2
 
Umakini ndio maisha mama. Na wakikutumia wakimaliza wanahadithiana. Hahaha nacheka kama mazuri
HAYA BAADHI YA WANAWAKE WA JF JIANGALIENI MNAVYODHARAULIWA NA HAWA BAADHI YA WANAUME WA DAR, WANAPASIANA TU. Muwe makini sana.
 
Shoga umenifurahishaje?Hebu kunywa chochote upendacho pls.

Huyu Mungu nae ana maajabu sana jamani!
Mwanaume wa maana anampa mwanamke mpumbavu,malaya asiyejitambua.
Inauma sana.
 
Shoga umenifurahishaje?Hebu kunywa chochote upendacho pls.

Huyu Mungu nae ana maajabu sana jamani!
Mwanaume wa maana anampa mwanamke mpumbavu,malaya asiyejitambua.
Inauma sana.
Kwakweli roho imeniuma, hana mana hata chembe, hakuwa mwanamke bora, bali bora mwanamke
 
Chezea kuachwa wewe?
Huhuuuuuuu nijikalie kimya mie.
Naona JIPU limeiva,linatumbuka lenyewe.
Nifah kuna mengi sana tena sana. mengi yamesemwa na mengi yakatendeka... ukaribu wangu na dada yangu nikawa mtu wa kutupiwa tuhuma zote. lakini nikawa na imani na dada angu
 
Hujawajua tu?
Mbona kuna sehemu humu wana ligi X na NG na wanatajana kabisa?
Hufai wewe,tutakupa ban kwenye chama cha wambea.
Ha ha ha si unajua TUNAZIDIANA UTAFITI lol. sijawajua na nahisi ndio sabab leo nimeamka na homa.
 
Wahusika wamo humu mimi nimepata pm mama siwezi expose hapa ni aibu na fedheha bora tuwaachie wenyewe wayamalize huko kwao.
Sie tujifunze kupitia kwao
basi ni PM ili tuweze kuwaacha wenyewe ha hah a ha ahh haha ha
 
Umakini ndio maisha mama. Na wakikutumia wakimaliza wanahadithiana. Hahaha nacheka kama mazuri
ha ha ha hah kazi ipo. yani jf muda mwengine kama maskani za mitaani..Wakikataliwa au kuchuniwa PM pia wawe wanahadithiana basi.
 
Wanahadithiana pia. Kwa hiyo ukikatalia kadhaa wanaacha kuja pm. Ukikubalia watatu umeita mkutano wa nzi
ha ha ha hah kazi ipo. yani jf muda mwengine kama maskani za mitaani..Wakikataliwa au kuchuniwa PM pia wawe wanahadithiana basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…