Leo nayatoa ya moyoni

kuu mmoja ameshanitii na yupo kimya anatafuta pesa tu na namuomba aendelee kuwa kimya kuepusha maneno.. Popote ulipo dada angu tambua ahadi yangu kwako
ni kukupenda
Wote umri wa kingkiki.....a.k.a wazee sugu kma wamekusikia ni heri mana wajuvi tumeshawajua kwa ID zao za cku zotee....watu wako busy kupambana na maisha wao wanagombea Fc liborooo
 

Ngoja mimi niwarahisishie kazi kwa kucomlpy Posts and threads.
 
sasa uyo mchumba si aje na yeye kurudisha mashambuliz jaman
 
kuu mmoja ameshanitii na yupo kimya anatafuta pesa tu na namuomba aendelee kuwa kimya kuepusha maneno.. Popote ulipo dada angu tambua ahadi yangu kwako
ni kukupenda

Mkuu wewe ni nani kwenye hii saga... maana huku unawaponda, mara unajifanya unampenda mwingine.... au wewe ni mzee wa dead balls... maana ndio wako hivyo... unajidai unahuruma msaada, ushauri mwingi maombi kidogo, mwisho wa siku mzee nawewe ni mule mule tu unataka papuchi..tehe tehe
 
hakuna mkuu, mimi ni mmoja kati ya wasuluhishi wa suala hili wa mwanzo kabisa pia upande wa pili unanihusu kwa kuwa ni rafiki yangu mkubwa. Kuhusu suala la papuchi hilo halipo kwa kuwa hawa wawili ni kama dada zangu kiumri so najaribu kutokuegemea upande
 

Poa nimekusoma mzee.
 
Teh teh..Bro cheo cha udetective kinakufaa..Umeunga dot hadi umewapata..I feel sorry kwa loveissweet..Inaonekana ye nido muhanga kwenye hili

Dah! Noma sana, lakini jinsi alivyojibu inaonekana ameelewa na kuikubali situation! Ila X ni mtata kinoma noma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…