Leo nayatoa ya moyoni

Leo nayatoa ya moyoni

kuu mmoja ameshanitii na yupo kimya anatafuta pesa tu na namuomba aendelee kuwa kimya kuepusha maneno.. Popote ulipo dada angu tambua ahadi yangu kwako
ni kukupenda
Wote umri wa kingkiki.....a.k.a wazee sugu kma wamekusikia ni heri mana wajuvi tumeshawajua kwa ID zao za cku zotee....watu wako busy kupambana na maisha wao wanagombea Fc liborooo
 
Wewe.... Haaaahaaaa... Ungekuja hivi at the first time you quoted me may be tusingefikia huku , may be. Haahaaaaa.. Acha bhana na Mimi Leo nitoe yaliyo moyoni mwangu kama bwana J, alivyokutolea yake ya moyoni, aaaahhaaa , maana niliku baby sitted too much na kufeel sympathy for you kwa one year na how many months... Malizia mwenyewe... Na ingekuwa may be if Uzi huu ungekuwa unanihusu me, but Neeh. It wasnt about me na thats why I told you to get your facts straight and stop acting like you know but you dont know nadah ... Hhaaaa...Utawatambua kwa matendo eehee haaaahhaaa, vipi yale matendo ya wewe kummdanganya Pastor wa Jf kuwa nimekuchukulia mume , vipi Yale matendo yako ya kunichafulia my name here Jf, vipi Yale matendo ya kunitukana kila color ya matusi , na my Faith , vipi Yale matendo yako ya kupigia simu familia yangu na kuwatukana na kuwaambia nimekuchukulia mumeo , vipi yale matendo yako kutengeneza fake dialogues za uongo na kunitumia mimi na wengine , vipi yale matendo ya wewe kuni threat, ahhaaa, vipi yale matendo ya wewe ya kunena uongo for your own benefits, ahaa, vipi yale matendo yako ya wewe kuleta confussion kwa watu wengine haahaa, weweeeeeee.... Acha fake zako weweee... Hahaa .. Look at you , full stress + depression. HaaaaHaahaaaaa ... Eti abusive language haaahaaaa , Hivi mimi na wewe nani alikuwa ana muabused mwenzie na kumtukana kila aina ya rangi ya matusi maana bado ninazo zile Dialogues zako za whats app nyingi tuuu , hhaaaaaa.. Serious I do ... Nilikujibu sana Kiroho wewe Dada na hata kuko avoided you , I did.. But one thing unajitoaga akili kwa kudhani mimi si mwanadamu, Bibi eehee hata Mimi pia ni human Nina moyo kama wewe na Nina familia kama wewe... Hivi nilivyovitaja umevi push to the point sidhani kama hapa Jf kuna yeyote angeweza kukuvumilia like I did, so stop kujifanya mmnyonge ili wengine wakuoonee huruma hapa.. Umelikoroga mwenyewe now you have to drink it slowly, slowly by slowly.... Haaahaaaa... Chukua drink uipendayo ushushie.. Every time Loveissweet is in your head, mind, and your life .. Mara unitafute whats app, mara kwa simu, na Jf kutwa kunitrack down kama FBI... Now naona vimeshindikana whats app na simu ukaamua uhamie full time Jf for the Loveissweet , maana Jf zamani ilikuwa Part time kwa kumquoted loveissweet na kutuma PM since ulikuwa ukinipata sana kule kwa simu, na whats app with your own expenses.. Halafu vocha zilivyokuwa expensive still umo, Haaaaahaaaaa.... Yaani Wewe... I have never seen a depress person, like you, uwiiiii .... If you knew all this hizo wisdom words zako before why you pointed your fingers on me kwa kusema "Wewe"... Haaaahaaaa... Idiot go and read Thread yako kule umeekewa a special for you from bwana J.... Mbona huendi kule, unaogopa ehee...... Nonsense.. Dont think that kama mtu ameokoka huwa hachoki na nonesense zako.. I'm human atiiii... .. You really pushed me far this time , mnafiki mkubwaa, wewe... As I have said nimekuvumilia over a year and warned you in Private to leave me the hell alone.. But you keep coming after me , for nonsense zako.. And then now you come here with your fake Upole, fake wisdom words keep it for youself and your future . I'm telling you this time umenianza again as usual halafu you found me in not again moody kwa kuchoshwa na dramas zako haki nitakumalizia.. Usione I'm quiet, humble and loving person , trust me Nina limit , kwa nonsense nyingine .. Kutukanwa kote kule na mdogo wangu( after you tracked her down on your own expenses na kuanza kumtukana with no reasons , hakujui , and humjui, ukija kwangu the same thing I don't know you we never met before but you have guts to track me down na kunitukana.. Haikukutosha kufanya hayo yote kwa simu ukaamua uje kunichafua Jf with your fake nonsense, muda wote niko kimmya tuu , haikukutosha ukani quote kwa kuni point me with your fingers .. Hii ni baada ya kukuupuuzia all including quotes zako zingine from the past .... ) Haya kwa mdogo wangu ukafikiria my mdogo ni kama Loveissweet ambaye uliyekuwa ukimmtukana anakunyamazia na kukupuuzia ulikosea number kwa yule maana amekutukana back kama a little child , ukabaki kuwa mdogo kama Piriton ( Halafu si ulijifanya matusi hayajakuuma wewe kumbe yalikuingia , ukammtafuta Huyo bwana J kummlalamikia , naye akakujibuje? Malizia hapo mwenyewe maana to me its a shame but ukitaka nikumalizie trust me this time nitakumalizia alichokujibu... ) , I thought after ulivyopata matusi kwa mdogo wangu utanikoma, but still you keep doing it , you a psychopathy woman.. Quote me this one too....Haya now kasome uzi wako wa kutoka kwa huyo bwana J kakuwekea Jana ... Halafu you have been cried for J kwa Uzi wako Jf ( uliouweka last year , hivi ile mipango yenu ya ndoa iliishia wapi vile...wape Jf feedback maana walikuwa wakisubiri kwa hamu.. Kwa Uzi wako ulisema mchumba wako , kwangu ukasema ni mumeo, kwa mdogo wangu ulimuambia ni mchumba wako, kwa Pastor wa Jf on the SMS ulimuambia ni mumeo , which is which hata hueleweki.. Kaaanze tuu Doses za Cymbalta soon because I have bad feelings that your family will lose you soon... ) and na huyo J anaye kumake uwe kama Puppy everywhere. Na kuwa na low selfsteem...... Thanks

Hey look what I got hapo chini ( Acha kuwadanganya wana Jf , looooh hahaaaaa) , check it out . Haaahaaaaa.... Sio Mimi ninayekufuataga Bali wewe.... Hii ndio inaitwa baada ya kuvumilia saana mambo mengi na uovu mwingi kutoka kwako , sasa the balloon is bursting out maana uliweka upepo mwingiiii kupita kiasi... ....... Haaahaaaa... Alamsiki, Night, night drama Queen...

MBEBA MAONO KAJA said:
mrejesho kwa wanajamii ni kwamba mimi na j tumekuwa wachumba official na sooner or later tutafunga ndoa.
.

Ngoja mimi niwarahisishie kazi kwa kucomlpy Posts and threads.
 
kuu mmoja ameshanitii na yupo kimya anatafuta pesa tu na namuomba aendelee kuwa kimya kuepusha maneno.. Popote ulipo dada angu tambua ahadi yangu kwako
ni kukupenda

Mkuu wewe ni nani kwenye hii saga... maana huku unawaponda, mara unajifanya unampenda mwingine.... au wewe ni mzee wa dead balls... maana ndio wako hivyo... unajidai unahuruma msaada, ushauri mwingi maombi kidogo, mwisho wa siku mzee nawewe ni mule mule tu unataka papuchi..tehe tehe
 
Mkuu wewe ni nani kwenye hii saga... maana huku unawaponda, mara unajifanya unampenda mwingine.... au wewe ni mzee wa dead balls... maana ndio wako hivyo... unajidai unahuruma msaada, ushauri mwingi maombi kidogo, mwisho wa siku mzee nawewe ni mule mule tu unataka papuchi..tehe tehe
hakuna mkuu, mimi ni mmoja kati ya wasuluhishi wa suala hili wa mwanzo kabisa pia upande wa pili unanihusu kwa kuwa ni rafiki yangu mkubwa. Kuhusu suala la papuchi hilo halipo kwa kuwa hawa wawili ni kama dada zangu kiumri so najaribu kutokuegemea upande
 
hakuna mkuu, mimi ni mmoja kati ya wasuluhishi wa suala hili wa mwanzo kabisa pia upande wa pili unanihusu kwa kuwa ni rafiki yangu mkubwa. Kuhusu suala la papuchi hilo halipo kwa kuwa hawa wawili ni kama dada zangu kiumri so najaribu kutokuegemea upande

Poa nimekusoma mzee.
 
Teh teh..Bro cheo cha udetective kinakufaa..Umeunga dot hadi umewapata..I feel sorry kwa loveissweet..Inaonekana ye nido muhanga kwenye hili

Dah! Noma sana, lakini jinsi alivyojibu inaonekana ameelewa na kuikubali situation! Ila X ni mtata kinoma noma.
 
Back
Top Bottom