Yaani.....Dah bro ushimen...! Pole sana ila nadhani umerelax kias baada ya kuweka mambo hadharani. Bi dada ulompata hapa Jf najua atakuelewa vizuri. Ila mkuu cjakusoma vizuri kumbe huyo mwanamama ulishazaa naye kid mmoja, au ni wawili? Kama ni mmoja mbona umesema "watoto wako" so una watoto wengine wasio wake huyo mama? Ila huyo mama kiukweli yupo ka "fisi" kashika huku na huko wanawake type hiyo hawaolewi mkuu pole again...
Easy Easy taratibuUsianze kurusha jiwe, kama umejenga nyuba ya vioo
Hahahahahaaa mkuu umenichekesha sana.Nasubiri new story General umekuwa kimya sana au uhakiki wa silaha umekuchelewesha?
Hahahhaa...umepanik,sasa kama unakunya pembeni ya choo usiambiwee. Kwendraaaa. Mchumba wa JF my footNgoja nikuweke pembeni na kiherehere chako kukalia kalia jiti bila kupaka mafuta
Kama haieleweki kwanini unaisoma aiseeee....[emoji12]Sinema yenyewe haieleweki ya kihindi au kinaijeria.....haya pole muhanga,kunywa maji ulale.
Sasa si ushaiweka humu...umejitangazaa mwenyewe,umejilizalizaaa hahahaa. Na bado, stress zako peleka baharini babu weeeee....Kama haieleweki kwanini unaisoma aiseeee....[emoji12]
Ebu nipishe na MP zako za msimu hizo...[emoji57]
Alafu.....
Mbona muandiko wako unafanana na yele X...[emoji15]
Au una ID mbili?
Hahahaha nani huyo mzee wa UshiromboBado mkuu,
Kuna Ke naona anantaka humu
Si unajua story za General mkuu huwa zinamkaribia Lara 1. Naona atakuwa anahakiki silaha kwanzaHahahahahaaa mkuu umenichekesha sana.
Mkuu...Aaaggrr @ushmen unantia aibu sasa... nilidhani haya mambo ya kulialia yanawakuta wanaumme wa dar tu kumbe hadi nyie wapiga box?!
Ishakuwa tatizo sasa... uvulana utawatoka lini??
cc Nyani Ngabu
Kiongozi mpotezee huyu. Ataiharibu thread yako itapigwa pini.Kama haieleweki kwanini unaisoma aiseeee....[emoji12]
Ebu nipishe na MP zako za msimu hizo...[emoji57]
Alafu.....
Mbona muandiko wako unafanana na yele X...[emoji15]
Au una ID mbili?