Leo nayatoa ya moyoni

Leo nayatoa ya moyoni

Dah bro ushimen...! Pole sana ila nadhani umerelax kias baada ya kuweka mambo hadharani. Bi dada ulompata hapa Jf najua atakuelewa vizuri. Ila mkuu cjakusoma vizuri kumbe huyo mwanamama ulishazaa naye kid mmoja, au ni wawili? Kama ni mmoja mbona umesema "watoto wako" so una watoto wengine wasio wake huyo mama? Ila huyo mama kiukweli yupo ka "fisi" kashika huku na huko wanawake type hiyo hawaolewi mkuu pole again...
Yaani.....
Nilijua ana watoto wawili, kumbe alikua ana mwingine ambae alimzaa akamuacha kwa babayake mtoto. Ndipo nilipo kuja kujua baadae kwamba kumbe alikua na mtoto wa manzo tofauti na hawa wawili ambao nilikua nawasomesha na wakwangu wawili.
Kwakifupi sikuwahi kuzaa na X, na nilijua ana watoto wawili kumbe ana watoto watatu, na kumbe bado yupo ndani ya ndoa
 
Sinema yenyewe haieleweki ya kihindi au kinaijeria.....haya pole muhanga,kunywa maji ulale.
Ngoja nikuweke pembeni na kiherehere chako kukalia kalia jiti bila kupaka mafuta
 
Ngoja nikuweke pembeni na kiherehere chako kukalia kalia jiti bila kupaka mafuta
Hahahhaa...umepanik,sasa kama unakunya pembeni ya choo usiambiwee. Kwendraaaa. Mchumba wa JF my foot
 
Aaaggrr Ushimen unantia aibu sasa... nilidhani haya mambo ya kulialia yanawakuta wanaumme wa dar tu kumbe hadi nyie wapiga box?!
Ishakuwa tatizo sasa... uvulana utawatoka lini??
Halafu you sound like nyang'au flani frm ke..
cc Nyani Ngabu
 
Nimekupata mkuu, Kama ulikuwa huendi msikitini au kanisani au kwa namna nyingine yeyote ile ya kumwabudu Mola na kama unaamini ktk Mungu plse ebu anza sasa, vry sory bro. Vijana ambao hamjaoa jifunzeni kwa hili, wanawake wachache kama huyu wapo sana mjihadhari sana.
 
Kama haieleweki kwanini unaisoma aiseeee....[emoji12]
Ebu nipishe na MP zako za msimu hizo...[emoji57]
Alafu.....
Mbona muandiko wako unafanana na yele X...[emoji15]
Au una ID mbili?
Sasa si ushaiweka humu...umejitangazaa mwenyewe,umejilizalizaaa hahahaa. Na bado, stress zako peleka baharini babu weeeee....
 
Aaaggrr @ushmen unantia aibu sasa... nilidhani haya mambo ya kulialia yanawakuta wanaumme wa dar tu kumbe hadi nyie wapiga box?!
Ishakuwa tatizo sasa... uvulana utawatoka lini??
cc Nyani Ngabu
Mkuu...
Kuna muhanga anaangamizwa hapa jf for the name of me.
Hii ndio imenileta huku mkuu...
Sababu anae umizwa she's very innocent
 
Back
Top Bottom