Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NimekubaliNi muhimu sana kuwa na amani ya moyo. So tumuache tu aongee
Atawataja kweli? Sijui...mi nasubiri vitu viwili muhimu...jina la huyo X fisadi na jina la current baaasi!
Hawezi watajami nasubiri vitu viwili muhimu...jina la huyo X fisadi na jina la current baaasi!
Hahaha daah, haya subiri story iishe though I wish majina ya wahusika yasitajwe,, inayemuhusu ujumbe utakuwa umeshafika. Kama walishamalizana ni vizuri kila mtu afanye yake ..ndo kuachana kiutu uzima hukomi nasubiri vitu viwili muhimu...jina la huyo X fisadi na jina la current baaasi!
sasa kama walishamalizana si angeyasimulia huko aliko kwa mdomo badala ya kuyaleta huku halafu asiyamalizeHahaha daah, haya subiri story iishe though I wish majina ya wahusika yasitajwe,, inayemuhusu ujumbe utakuwa umeshafika. Kama walishamalizana ni vizuri kila mtu afanye yake ..ndo kuachana kiutu uzima huko
Nasubiri tu dots zijiconnect zenyewe[emoji85][emoji85] [emoji85]
Mmh umbea utaniua sasa khaaa. Me nilivyomuelewa ni kwamba anataka kuweka mambo clear, especially kwa baby wake mpya. Coz ni kama figisu figisu za huyo ex zinaweka huu uhusiano wake mpya matatani + baby wake mpya kuchafuliwa humu ndani( khaa bye mpendwa, ntakuja kusutwa mama mtu mzima hivi haipendezi, utadhani Nilikuwepo sasa mmh)sasa kama walishamalizana si angeyasimulia huko aliko kwa mdomo badala ya kuyaleta huku halafu asiyamalize
Aaaggrr Ushimen unantia aibu sasa... nilidhani haya mambo ya kulialia yanawakuta wanaumme wa dar tu kumbe hadi nyie wapiga box?!
Ishakuwa tatizo sasa... uvulana utawatoka lini??
Halafu you sound like nyang'au flani frm ke..
cc Nyani Ngabu
Jamani sio kila jambo muwe mnachangia.Wanaume wa Dar mtatuzeesha kaka zenu wa mikoani jamani!? Hata hili nalo unataka tukushauri!
wasamehe bure hao jamaa watakimbia humu.Afadhali... nilidhani na wewe ni mwanaume wa dar
ila usisahau kuwa hapa siyo jukwaa la umbea dear!Huhuuuuuuu mambo yamenoga si mchezo.
Mie niko na juice yangu ya ukwaju hapa nafuatilia.
Raaaaaha sana.
Ila JF hii ina mambo?
Mhhhhhhhhh
cc Charity Diva Beyonce DaJane brenda18 Dinazarde
Naomba nikupuuze.ila usisahau kuwa hapa siyo jukwaa la umbea dear!