Leo ndio Leo! Marekani Kuupiga Mabomu Mwezi Leo

Leo ndio Leo! Marekani Kuupiga Mabomu Mwezi Leo

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
443
Reaction score
18
Friday, October 09, 2009

Leo ndio ile siku iliyokuwa ikisubiriwa ambapo Marekani inatuma makombora yake angani kulipua sehemu ya mwezi katika utafiti wao wa kutafuta maji kwenye mwezi.

Leo oktoba 9 ndio siku ambayo Marekani inatuma makombora yake mawili angani kulipua sehemu ya mwezi katika utafiti wao wa kutafuta maji kwenye mwezi.

Kama tulivyowataarifu awali kwamba shirika la utafiti wa anga la Marekani (NASA) lilikuwa likijiandaa kuzindua mpango wake unaoitwa LCROSS (Lunar CRater Observing and Sensing Satellite) ambapo mwezi utapigwa mabomu kwa kutumia kombora linaloitwa Centaur ambalo linaenda spidi mara mbili ya spidi ya risasi.

Tukio hilo litafanyika leo, wenye darubini katika baadhi ya nchi ambazo zitakuwa usiku wakati huo wataweza kushuhudia kwa macho yao na wengine kama Tanzania ambako itakuwa mchana tutaweza kushuhudia Live kwenye luninga za tukio hilo.

Inatarajiwa kuwa saa nane na nusu mchana kwa saa za Bongo, kombora hilo litatua kwenye uso wa mwezi likiwa katika spidi ya maili 5,600 kwa saa na litasababisha kufukuliwa kwa kifusi chenye uzito wa tani 350 na kutengeneza shimo kubwa sana kwenye mwezi.

Mabomu hayo yatalipuliwa kwenye mhimili wa kusini wa mwezi ambako wanasayansi wanaamini mabilioni ya barafu zilizoganda yanapatikana mita kadhaa chini ya ardhi ya mwezi.

Chini ni Video jinsi mwezi utakavyopigwa na mabomu leo na jinsi itakavyokuwa kama ambavyo wanasayansi wa Marekani wanatarajia.

NASA watarusha Live tukio hilo kupitia tovuti yao. Tembelea Link hii mida ya mchana kushuhudia tukio hilo.

http://www.nasa.gov/multimedia/nasatv/index.html
 
duh! mkuu hii haiwezi leta athari yoyote kwenye mwezi? hasa uwezo wake wa kuakisi jua?
 
Ni thread ya 3 hii, with the same material content! Tusome jamani, all in all asante kwa link uliyotoa.
 
mimi na wasiwasi wenzetu wanaoishi huko wanajua kama tunafanya utafiti au tumeamua kuanzisha vita...mi simo
 
Wameharibu dunia wakaona haitoshi... sasa wanaenda kuchokoza mwezini!
Mungu atunusuru.
 
sisi bado tunapigana na njaa, maradhi, umasikini na kujua kusoma na kuandika bila kusahau kuwaza leo nitakula nini. bila kusahau vigogo kufikilia kwenda kupiga mizinga kwa wazungu. wenzetu wanawaza kupiga mabomu mwezini. this is not fare
 
sisi bado tunapigana na njaa, maradhi, umasikini na kujua kusoma na kuandika bila kusahau kuwaza leo nitakula nini. bila kusahau vigogo kufikilia kwenda kupiga mizinga kwa wazungu. wenzetu wanawaza kupiga mabomu mwezini. this is not fare
Ya ryt mkuu...
 
Nchini Tanzania tunasoma historia ya sayansi na sio sayyansi kama tunavyoita. Wenzetu ndio wanafanya real science. Tatizo lililopo Tanzania ni sayansi kuingiliwa na wanasiasa. Wanasayansi wenzangu tubadilike
 

Nasa scientists have "bombed" the south pole of the Moon with two spacecraft in an attempt to kick up a six-mile high dust cloud that may contain water.


A satellite crashed into a lunar crater at around 5,600 miles per hour, followed four minutes later by another spacecraft equipped with cameras to record the impact.
Grainy thermal images carried on Nasa's television station showed colder blue sites and warmer red sites on the moon's surface, but there was no apparent light flash as the rockets made impact.


click here for more Breaking News
 
A pair of NASA spacecraft smashed into the moon at twice the speed of a bullet, as part of a mission aimed at blasting up signs of water ice.

Pictures of the impact zone were beamed back live to Earth, but the video imagery did not show any signs of a flash.

"It's hard to tell what we saw there," said Michael Bicay, director of science at NASA's Ames Research Center in California.

The first crash took place at 7:31 a.m. ET. That’s when an empty rocket that weighed 2.2 tons hit the crater Cabeus. It was expected to create a crater about 66 feet (20 meters) wide, which is half the length of an Olympic pool. The blast should have kicked up a plume of lunar debris about six miles (10 kilometers) high.

Scientists hoped an analysis of the debris would confirm the theory that water — a key resource if people are going to go back to the moon — is hidden below the barren moonscape.

Trailing behind the rocket was the lunar probe LCROSS, short for Lunar Crater Observation and Sensing Satellite and pronounced L-Cross. For four minutes, the LCROSS shepherding spacecraft sent Earth live pictures of the rocket stage's expected impact zone in multiple wavelengths — and then plunged into the crater itself.

Telescopes focus on crash site
Telescopes around the world — including the orbiting Hubble Space Telescope — aimed their cameras at the moon to capture views of the dust-up.

At least one telescope team, at the MMT Observatory in Arizona, reported spotting a bright debris plume. The visible-light images sent back by LCROSS itself showed no sign of such a plume, although Bicay noted that evidence of a crash did turn up in thermal imagery.

LCROSS project manager Dan Andrews said it was possible that the lighting was bad for the spacecraft's images, and that those images needed to be tweaked to make the debris plume easier to see. The raw images could have been essentially “gray against black,” he said.

“What matters for us is: What is the nature of the stuff that was kicked up going in?” Andrews said. “All nine instruments were working fine and we received good data.”

The data will be analyzed for weeks to come. If the analysis shows no signs of water, that would run counter to recent findings suggesting that lunar soil, also known as regolith, contains more water ice than previously thought.

However, Bicay said there could be other explanations for the absence of a water signal. For example, it may be that the water is unevenly distributed — even within the permanently shadowed polar craters that are thought to be the best prospects for ice mining. Bicay said LCROSS' scientists may have come across a situation familiar to Texas oil wildcatters.

"We may have hit a dry hole rather than a wet hole," he said.

Mission ends after mere months
Launched in LCROSS and its bigger rocket stage launched together last June and only separated Thursday night, the last major milestone before the big crash.

The lunar demolition derby was broadcast live on NASA Television and on the Internet. NASA reported that as many as 391,000 Internet users were watching the webcast concurrently. That made it the space agency's third biggest Web video event, behind the space shuttle Discovery's launch and landing in 2005.
Museums and observatories across the country hosted early-morning LCROSS gatherings, but in most cases, the events didn't live up to advance expectations. At Los Angeles' Griffith Observatory, people who got up early to look for the crash threw confused looks at each other instead.

Telescope demonstrator Jim Mahon called the celestial show "anticlimactic.”

“I was hoping we’d see a flash or a flare,” he said.

The LCROSS probe cost $79 million and was an add-on to a bigger NASA satellite, known as Lunar Reconnaissance Orbiter, which is now circling the moon.


More and Picture on LCROSS | Lunar Reconnaissance Orbiter press this link http://www.msnbc.msn.com/id/33226607/ns/technology_and_science-space/
 
Tatizo liko wapi? research kama hizo ndizo zimefanya mnaweza kutumia internet na kutapika pumba zenu kama mnavyofanya sasa kwenye hizo keyboards zenu!
 
Wameharibu dunia wakaona haitoshi... sasa wanaenda kuchokoza mwezini!
Mungu atunusuru.

Duniani tuna matatizo chungu nzima kama vile njaa, mafua ya nguruwe, AIDS n.k. Hizi milioni ($79 million)zilizotumika huko bora wazingetumia katika maeneo haya. Hawatafakari hata athari ya kuupiga mwezi itakuwa ni ipi katika dunia yetu.
 
sisi bado tunapigana na njaa, maradhi, umasikini na kujua kusoma na kuandika bila kusahau kuwaza leo nitakula nini. bila kusahau vigogo kufikilia kwenda kupiga mizinga kwa wazungu. wenzetu wanawaza kupiga mabomu mwezini. this is not fare
kupiga mabomu mwezini ni akili au?we unawaona hawa na haya mambo yao basi wako mbeeele!kalaghabaho hawa ndo wanaiharibu dunia hawa na ugunduzi wao kilasiku
 
Duniani tuna matatizo chungu nzima kama vile njaa, mafua ya nguruwe, AIDS n.k. Hizi milioni ($79 million)zilizotumika huko bora wazingetumia katika maeneo haya. Hawatafakari hata athari ya kuupiga mwezi itakuwa ni ipi katika dunia yetu.
Jamani, tusiwe na mawazo ya kimaskini. Hela ni yao, hivyo ni haki yao kuitumia wapendavyo. Kama wenyewe mmeshindwa kujikomboa, basi tena. Kwani ni nani alimkomboa huyo mzungu? Misaada bado mnapewa kibao, lakini haitoshi? Be iniative badala ya kulalamika jinsi mwenzako anavyotumia pesa yake.

Besides, kupiga mwezi mabomu ni katika kuuangalia kama kuna maji huko. Its a calculated explosion as part of scientific research. Nyie mnadhani watu wa Nasa ni mchezo?
 
Jamani, tusiwe na mawazo ya kimaskini. Hela ni yao, hivyo ni haki yao kuitumia wapendavyo. Kama wenyewe mmeshindwa kujikomboa, basi tena. Kwani ni nani alimkomboa huyo mzungu? Misaada bado mnapewa kibao, lakini haitoshi? Be iniative badala ya kulalamika jinsi mwenzako anavyotumia pesa yake.

Besides, kupiga mwezi mabomu ni katika kuuangalia kama kuna maji huko. Its a calculated explosion as part of scientific research. Nyie mnadhani watu wa Nasa ni mchezo?

Kama wangekuwa wana hela hiyo deficit ya zaidi ya $1.75 Trillioni or equivalent to 12.3% of Gross Domestic Product inatoka wapi? Na unemployment ya 10% pia. Dunia wameishafua na sasa tuna hali ya hewa ya ajabu ajabu kutokana na uchafuzi wao wa mazingira. Magharika karibu kila mwaka na yanaua watu wengi kuliko miaka iliyopita mafuriko kila mwaka sehemu mbali mbali duniani nayo yanaua maelfu duniani. Wakati bado hawajatafuta ufumbuzi wa hii global warming (inayosababishwa na green house gas emission) ambayo inatishia uhai wa viumbe wengi duniani ikiwemo binadamu, sasa wameamua kwenda kuzua jingine tena.

Sasa Warusi nao kutaka kuonyesha na wao wamowamo si ajabu na wao katika miaka michache ijayo wakaupiga mwezi mabomu, Wachina nao wanaweza kutaka nao kuonyesha ubavu wao na kuutandika mwezi mabomu sijui na hao Waisrael. Na hakuna anayejua athari ya hili kwa dunia yetu, na ikija kujulikana si ajabu hawataweza kufanya lolote kuzuia athari hiyo kama ambavyo wanashindwa kufanya lolote sasa hivi kuzuia green house gas emissions.

Ni matumizi ya Kipumbavu tu, wakati nchi imegubikwa na matatizo chungu nzima ikiwemo la wananchi chungu nzima kuwa homeless kutokana na kupoteza nyumba zao, hii hela ingetumika vizuri zaidi katika maeneo hayo. Hata mwanaNASA mkongwe amesagia hili. (NASA moon bombing violates space law & may cause conflict with lunar ET/UFO civilizations
By Alfred Lambremont Webre
Oct 7, 2009, 23:01)
 
Duniani tuna matatizo chungu nzima kama vile njaa, mafua ya nguruwe, AIDS n.k. Hizi milioni ($79 million)zilizotumika huko bora wazingetumia katika maeneo haya. Hawatafakari hata athari ya kuupiga mwezi itakuwa ni ipi katika dunia yetu.

Duh mawazo ya kijamaa haya, juzi si mmeambiwa dawa ya AIDS imefanyiwa majaribio isitoshe kwani Marekani pekee yake ndio ina wanasayansi wa kutatua matatizo yote? Mkiona wao hawana interest na mnavyopenda basi nyie tafuteni solution ya hayo matatizo.
 
Back
Top Bottom