tatizo siyo kocha ni wachezaji, ata kama kocha afundishi nyie si mnajuwa mnacheza tu. wachezaji wetu wanapenda kutembeaje sijui, kama samatta huwezo mkubwa sana akipunguza yale madoido yake ya kuukimbiza mpira, yani wanacheza kimnato, ingawa muda bado,lakini inapaswa wabadilike sana hata kama mnafungwa mtu unasema ni mchezo lakini wanaume wamejituma
Watanzania tuendelee kuomba naona goli likifungwa na nurdin bakari/thomas ulimwengu dk ya 35-43 usiache kuomba chad nao watakuwa wamejizatiti na omben mabeki wasijishau sana sana
Mmmh wakuuu najaribu kupiga maombi hii fgr ya moja ifutike naona wapi mpaka dk ya 45 filimbi inalia tumelala moja bila anyaway nisiwakitishe tamaa naomba nisiendelee sana
Chad wanacheza kama wako nyumbani vile!!! Loh kweli ngombe wa maskini azai dk ya 36 kipindi cha pili
kama awatapewa penalti basi akuna dalili ya hata draw