Leo ndio leo - TAIFA STARS vs CHAD uwanja wa Taifa

Mi natamani wafungwe ili waache kutembea kwa mikogo na kutengeneza dreads.
 
Abdi kassim anaingia !!!anatoka henry joseph shindika kwa kuonyesha upupu uwanjani
huu ni upuuzi abdi kassim mzuri kabisa wanamwacha henry anazunguka uwanja kisa anaogopa akimtoa atokubali kuitwa
vituko ndugu zanguni !!samahani kwa hili lakini leo ni kichapo tu si kichapo yaani ndio outing yenyewe...
 
Yaani niangaike kubinya mapumbu ili Taifa stars washinde? haiwekezani aisee.
Washindwe kama ilivyo kwa mlima kilimanjaro,,kwani hawakufanya jitihada zozote za kutafuta ushindi zaidi ya kutuambia tuwaombee Mungu bila wao kupanga siku ya kumwomba Mungu.
 
kwa staili hiyo hata tukisonga mbele hatufiki popote mbele ya moroco na ivory coast. wachezaji wanawaza kupaka carolite na kutengeneza dreads tu. pambafu kabisa
 
burundi kumekucha ndikumana anapiga goli la pili dakika ya 88. burundi 2 lesotho 1
 
kweli bongo kama uingereza maneno mia vitendo sifuri..
 
Anatoka thomas ulimwengu anaingia athuman idi machupa
 
Hata tukifungwa 1'stil tunaenda ukiangalia magol ya ugeni kwao tumepata magoli 2 kwa moja wao kwetu wamepata goli 1'so bado tuna nafasi refer game ya barca na liver'2005 liver walienda nou camp baada ya bellamy na riise kupigana wakashnda mbil kwa moja'waliporudi anflied barca akashnda moja kwa bila but still liverpool akaenda next round
 
Hata Chadi wanatufunga? Ama kweli maandamano na migomo yanatuathiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…