Leo ndio leo - TAIFA STARS vs CHAD uwanja wa Taifa

Leo ndio leo - TAIFA STARS vs CHAD uwanja wa Taifa

tutawatoa hawa,msihofu lakini tuna kazi kubwa mno! Kuanzia benchi la ufundi!
 
Tatizo watu hawaelewi, unapoamua kufanya ujanja ujanja kila sehemu ukaziacha njia zilizo sahihi utegemee matokeo kama haya. TFF
1) wanazengua sana kufanya kazi zao kwa umakini, utakuta tiketi za 5000 zinauzwa kwa 10000 unategemea watu wataingia uwanjani na morali ya kushangilia timu hapo?
2)Timu inategemea nguvu za akina maji marefu, watu hawafuati taratibu za kiprofessional kucheza mpira wanajitungia tu matokeo yake ndo kama hayo. Acha vijana wetu wabaki kulilia katiba mpya labda itatukomboa.
 
dk ya 45 zimeisha wameongeza dk nyingine 3!!
 
tatizo watu hawaelewi, unapoamua kufanya ujanja ujanja kila sehemu ukaziacha njia zilizo sahihi utegemee matokeo kama haya. Tff
1) wanazengua sana kufanya kazi zao kwa umakini, utakuta tiketi za 5000 zinauzwa kwa 10000 unategemea watu wataingia uwanjani na morali ya kushangilia timu hapo?
2)timu inategemea nguvu za akina maji marefu, watu hawafuati taratibu za kiprofessional kucheza mpira wanajitungia tu matokeo yake ndo kama hayo. Acha vijana wetu wabaki kulilia katiba mpya labda itatukomboa.

mkuu kama unamfahamu iddi mshangama muulize leo nimempa live

kama mechi ya leo mtausisha uchawi na uganga hakika aibu itawakuta na nikamtajia bao moja na litalala hilo hilo nahisi anajiuliza sasa
 
kama namuona kaseja mwisho anaibuka shujaa vileee!
 
Mpira umekwisha hatimae!!!stars imesonga mbele kuingia makundi lakini kazi ipo kwa kweli tunapoelekea loh!!!!!!!!

Mungu ibariki tanzania
 

[TD="width: 45"] FT[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Burundi[/TD]
[TD="width: 51, align: center"] 2 - 1 [/TD]
[TD="width: 186"]Lesotho[/TD]

[TD="colspan: 4"][/TD]

[TD="width: 45"]
flash.gif
90'[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Madagascar[/TD]
[TD="width: 51, align: center"] 1 - 1 [/TD]
[TD="width: 186"]Equatorial Guinea[/TD]

[TD="colspan: 4"][/TD]

[TD="width: 45"]
flash.gif
90'[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Tanzania[/TD]
[TD="width: 51, align: center"] 0 - 1 [/TD]
[TD="width: 186"]Chad[/TD]

[TD="colspan: 4"][/TD]

[TD="width: 45"]
flash.gif
86'[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Kenya[/TD]
[TD="width: 51, align: center"] 4 - 0 [/TD]
[TD="width: 186"]Seychelles[/TD]

[TD="colspan: 4"][/TD]

[TD="width: 45"]
flash.gif
56'[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Rwanda[/TD]
[TD="width: 51, align: center"] 1 - 0 [/TD]
[TD="width: 186"]Eritrea[/TD]

[TD="colspan: 4"][/TD]

[TD="width: 45"]
flash.gif
14'[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Congo[/TD]
[TD="width: 51, align: center"]0 - 0[/TD]
[TD="width: 186"]Sao Tome and Principe[/TD]

[TD="colspan: 4"][/TD]

[TD="width: 45"]
flash.gif
14'[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]DR Congo[/TD]
[TD="width: 51, align: center"]0 - 0[/TD]
[TD="width: 186"]Swaziland[/TD]

[TD="colspan: 4"][/TD]

[TD="width: 45"] 16:30[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Togo[/TD]
[TD="width: 51, align: center"]? - ?[/TD]
[TD="width: 186"]Guinea-Bissau[/TD]

[TD="colspan: 4"][/TD]

[TD="width: 45"] 18:00[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Mozambique[/TD]
[TD="width: 51, align: center"]? - ?[/TD]
[TD="width: 186"]Comoros[/TD]

[TD="colspan: 4"][/TD]

[TD="width: 45"] 19:00[/TD]
[TD="width: 186, align: right"]Namibia[/TD]
[TD="width: 51, align: center"]? - ?[/TD]
[TD="width: 186"]Djibouti[/TD]
 
tulikula mbuzi mzimz tumeshindwa kumalizia mkia namajonzi leo....
 
Dharau mbaya, nadhani Stars waliidharau Chad!

Sio Stars pekee yao dharau zilianzia humuhumu JF, unadhani wachezaji wa Stars ni akina nani si ndio haohao akina Rejao na Malaria Sugu wa humu JF?
 
Duh.. Taifa Stars chini ya Kikwete inaendelea kupaa kwenye chati ya vibonde! Ni katika awamu hii ndiyo tumeshuhudia kufungwa na timu mbovu mbovu kama Somalia (enzi za Maximo) na leo aibu nyingine kwa Chad.
 
ng'ombe wa maskini hazai.hivi tatizo nini Taifa stars mechi ya ugenini walishida leo imekuwaje au yale yale ya kutuabisha kwa msumbiji nyumbani natukakosa nafsi ya kwenda Angola?Tanzania inabidi tuanzishe ligi ya vijana wa under 17 ireplace hii premier ligi ili tujenge timu itakayokuja kushindana na siyo kwa hawa wachezaji ni blaablaa tupu hawajui ni wakati gani kucheza kufa na kupona
 
Duh kuona au kusikiliza timu yetu inapocheza ni ugonjwa wa moyo kabisa...
 
ni bora hata tusingeingia huko kwenye makundi, maana ni aibu tupu
 
ndio hivyo tumepigwa kamoja mpaka mwisho lkn tumeendelea kwa faida ya magoli ya ugenini!!!!! Huyu Kocha naupangaji wake wa timu, sijuhi kama tutafika
 
Back
Top Bottom