Leo ndio mwanzo na mwisho kwa Mayele kufunga hatrick michuano ya CAF

Kwaiyo mnaanza kutafuta kichaka cha kujifichia baada ya kufeli kila kitu, yanga wanachoitaji ni ushindi full stop aijalishi wamefungaje iyo habari ya hat trick ni mengineyo kwenye mpira wa miguu sio lazima kufunga kila mechi kwasababu mayele achezi peke yake uwanjani ndio maana kukawepo wachezaji 11, Team work ndio inayoleta matokeo na ayo mengine ni nyongeza tu, Mayele keshaonyesha ubora wake kwaiyo unapolala unamuota mayele na kumuwekea masharti ya ajabu ajabu kana kwamba anacheza peke yake uwanjani ayo masharti pia kawawekee kina boko na kibu denis pia
 
Kwa mfano ikatokea leo simba akafungwa zaidi ya goli mbili na wamalawi, napo wamalawi waseme wamekutana na timu mbuvu?
 
Yaani mayele kawafanya hadi kumsahau mshambuliaji wao wa kizungu
 
Yani Utopolo wanataka kuozesha dada zao kwa Mayele mahari ni zile bao sita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…