KUna kitu nimekumbuka nikacheka sana, sjui alikua PM au Naibu PM ama mkuu wa Tanesco alisema "hata bwawa la Nyerere likikamilika bei haitashuka"Lengo la kuzima mitambo na kufungulia maji bwawa la Rufiji ni kutengeneza uhaba feki ili bei ibaki pale pale, kitu kikizidi tafsiri yake ni kwamba bei ni kubwa na inabidi ishuke ili kitumike kwa wingi zaidi ili kisibaki
Huyo alikuwa Majarage ChandeKUna kitu nimekumbuka nikacheka sana, sjui alikua PM au Naibu PM ama mkuu wa Tanesco alisema "hata bwawa la Nyerere likikamilika bei haitashuka"
Ntajaribu kutafuta ile taarifa, nikiipata ntaileta.
Hii nchi tugawane kila mtu atafute uraia sehwmu nyingine tu
Na wewe ndiye wa kulaumiwa kwa kusambaza uongo na kupiga propaganda kuwa bei ya umeme itashuka!Huyo alikuwa Majarage Chande
Na akatoka hapo akaenda ttcl chapu now ni posta mastaHuyo alikuwa Majarage Chande
Shindwa na ulegee!!! Yale yalikuwa ni maoni yangu endapo umeme wote ungezalishwa na kuuzwa, badalayake wamezima mitambo na kufungulia bwawa iki umeme usiwe mwingi, otherwise bei ishuke!Na wewe ndiye wa kulaumiwa kwa kusambaza uongo na kupiga propaganda kuwa bei ya umeme itashuka!
Ulaaniwe mpaka kaburini kwako!
Utasubiri sana mpaka utembelee mkokojo lakini bei haitashuka!Shindwa na ulegee!!! Yale yalikuwa ni maoni yangu endapo umeme wote ungezalishwa na kuuzwa, badalayake wamezima mitambo na kufungulia bwawa iki umeme usiwe mwingi, otherwise bei ishuke!
Wewe ndio mwenye mkosi! Pambana na serikali yako washushe bei!Utasubiri sana mpaka utembelee mkokojo lakini bei haitashuka!
Umeleta mkosi wa milele!
Nakutegemea wewe mpambe wa serikali!Wewe ndio mwenye mkosi! Pambana na serikali yako washushe bei!
Mtegemee mama, si wanasema anatimiza au?Nakutegemea wewe mpambe wa serikali!
Magufuli alishatowa ahadi bwawa likikamilika bei ya umeme ni lazima ishukeWewe ndio mwenye mkosi! Pambana na serikali yako washushe bei!
Umeme umezidi mahitaji, ila wote unauzwa nje, halafu tunaagiza tena toka EthiopiaNadhanii malengo ya baadhi ya viongozi wetu sio kuwaletea wananchi unafuu wa maisha Bali ni kujitajirisha wenyewe. Maana matumaini ya wengi nilikuwa ni baada ya kukamilika Kwa mradi bei ya umeme ingeshuka, sasa kama haishuki malengo ya kuzalisha umeme mwingine kuzidi mahitaji yalikuwa ni yapi? Je tumeshajitosheleza umeme hadi tuuzie majirani? Vijijinivwameshamaliza kusambaza umeme na kuona kuwa sasa imetosha uliobaki tuuze nje?
Umeme wetu ila Tanesco inauziwa tena..