Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
KUna kitu nimekumbuka nikacheka sana, sjui alikua PM au Naibu PM ama mkuu wa Tanesco alisema "hata bwawa la Nyerere likikamilika bei haitashuka"Lengo la kuzima mitambo na kufungulia maji bwawa la Rufiji ni kutengeneza uhaba feki ili bei ibaki pale pale, kitu kikizidi tafsiri yake ni kwamba bei ni kubwa na inabidi ishuke ili kitumike kwa wingi zaidi ili kisibaki
Ntajaribu kutafuta ile taarifa, nikiipata ntaileta.
Hii nchi tugawane kila mtu atafute uraia sehwmu nyingine tu